Mfamasia Mkuu wa Serikali Habib
Ali Shariff akifungua warsha ya siku moja ya kuandaa mikakati ya
kuboresha miundo mbinu ya usambazaji dawa, vifaa tiba na huduma za afya
iliyofanyika Bohari kuu ya dawa Maruhubi Mjini Zanzibar.
Baadhi ya washiriki wa warsha ya kuandaa mikakati ya kuboresha huduma za usambazaji dawa wakifuatilia mwendo wa mafunzo hayo.
Mkurugenzi wa mafunzo wa Mradi wa
Global Health Supply Chain (GHS) Matiko Mhoni Machagge akiwaeleza
washiriki wa warsha hiyo malengo ya mradi katika kufanikisha huduma za
afya.
Washiriki wa warsha wakiwa katika
mazoezi ya vikundi ili kuweza kutoa mapendekezo na maoni yao
yatakayosaidia kufanikisha mpango huo.
Picha ya pamoja ya washiriki wa
mafunzo ya siku moja ya kuandaa mikakati ya pamoja ya kuboresha miundo
mbinu ya usambazaji dawa na vifaa tiba katika wilaya na vituo vya afya
Zanzibar.
Picha na Makame Mshenga Maelezo.
No comments :
Post a Comment