Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Kaimu Jaji Mkuu wa
Tanzania
Profesa Ibrahim Hamisi Juma wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa
Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road
jijini Dar es salaam leo February 2, 2017
Kaimu Jaji
Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamisi Juma akihutubia wakati wa
uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya
Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 2, 2017
wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya
Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam leo
February 2, 2017
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika
viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es
salaam leo February 2, 2017
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipokea
ripoti ya mahakama kuhusu kesi za uchaguzi kutoka kwa Kaimu Jaji Mkuu
wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamisi Juma wakati wa uzinduzi wa Mwaka
Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala
Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 2, 2017.
Kulia ni Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikabidhi kwa Spika wa Bunge
Mhe Job Ndugai ripoti ya mahakama kuhusu kesi za
uchaguzi wakati wa uzinduzi wa Mwaka
Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala
Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 2, 2017.
Kulia ni Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiaga
baada ya sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja
vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam leo
February 2, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiagana na majaji wa Mahakama
ya Rufaa na wa Mahakama kuu baada
ya sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa
Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road
jijini Dar es salaam leo February 2, 2017
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipeana
mikono na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu baada
ya sherehe
za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya
Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 2, 2017
PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment