Pages

Thursday, February 2, 2017

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA MWAKA MPYA WA KIMAHAKAMA JIJINI DAR ES SALAAM


 KIMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea  na Kaimu Jaji Mkuu wa 
Tanzania Profesa Ibrahim Hamisi Juma  wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 2, 2017
KIMA 2
 Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamisi Juma  akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 2, 2017 wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 2, 2017
KIMA 7
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wakati  wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 2, 2017
JIKO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli  akipokea ripoti ya mahakama kuhusu kesi za uchaguzi kutoka kwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamisi Juma  wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 2, 2017.
Kulia ni Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
KIMA 10
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli  akikabidhi kwa Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai  ripoti ya mahakama kuhusu kesi za 
uchaguzi wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 2, 2017.
Kulia ni Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
KIMA 12
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiaga baada ya sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 2, 2017
KIMA 13
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiagana na majaji wa Mahakama ya Rufaa na wa Mahakama kuu baada 
ya sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 2, 2017
KIMA 14
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu  baada 
ya sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Kimahakama katika viwanja vya Mahakama vya Mtaaa wa Chimala Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 2, 2017
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment