Wachimbaji wa Madini ya Dhahabu
15 waliofukiwa na kifusi katika mgodi wa RD Nyarugusu mkoani Geita
hatimaye wameokolewa wote wakiwa hai kama wanavyoonekana baadhi wakiwa
wamelazwa chini mara baada ya kufukuliwa katika shimo la mgodi huo na
hizi ni baadhi ya picha zilizorushwa na mitandao mbalimbali zikionesha
wachimbaji hao wakiwa wameokolewa
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment