Pages

Sunday, January 29, 2017

WACHIMBAJI WOTE 15 WALIOFUKIWA KATIKA MGODI WA RZ MKOANI GEITA WAOKOLEWA WAKIWA HAI


RZ1
Wachimbaji wa Madini ya Dhahabu 15 waliofukiwa na kifusi katika mgodi wa RD Nyarugusu  mkoani Geita hatimaye wameokolewa wote wakiwa hai kama wanavyoonekana baadhi wakiwa wamelazwa chini mara baada ya kufukuliwa katika shimo la mgodi huo na hizi ni baadhi ya picha zilizorushwa na mitandao mbalimbali zikionesha wachimbaji hao wakiwa wameokolewa
RZ2 RZ3 RZ4

No comments:

Post a Comment