Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akisalimiana na maafisa wa
Jeshi la Polisi baada ya kuwasili wilayani Nkasi kwa ziara ya kikazi
ikiwa na lengo la kupitia shughuli zinazofanywa na idara zilizopo ndani
ya wizara yake na kubaini changamoto wanazokutana nazo na kuzitafutia
ufumbuzi.Kushoto ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Said Mtanda. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Afisa Uhamiaji Wilaya ya Nkasi,
Juma Khamis Ali (kushoto), akikabidhi taarifa ya Idara yake kwa Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni,
wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo wilayani humo ikiwa na
lengo la kupitia shughuli zinazofanywa na idara hizo na kubaini
changamoto wanazokutana nazo na kuzitafutia ufumbuzi.Wengine pichani ni
wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wilayani humo. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na wafanyakazi wa
idara zilizopo ndani ya wizara yake(hawapo pichani), wakati wa ziara ya
kikazi aliyoifanya wilayani Nkasi ikiwa na lengo la kupitia shughuli
zinazofanywa na idara hizo na kubaini changamoto wanazokutana nazo na
kuzitafutia ufumbuzi. Wengine pichani ni wakuu wa vyombo vya ulinzi na
usalama wilayani humo (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Said
Mtanda(kulia) akizungumza na wafanyakazi wa idara zilizopo ndani ya
wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi (hawapo pichani),wakati akimkaribisha
Naibu Waziri wa Wizara hiyo ,Mhandisi Hamad Masauni(wapili kulia) wakati
wa ziara ya kikazi aliyoifanya Naibu Waziri huyo wilayani humo. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(wakwanza kulia), akizungumza na
waandishi wa habari baada ya kumaliza kikao cha ndani na watumishi wa
idara zilizopo chini ya wizara yake wilayani Nkasi.(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
No comments:
Post a Comment