Mkurugenzi wa Kituo cha Kulea Watoto waliokimbia Kukeketwa cha (ATFGM-Massanga) kilichopo Tarime Vijijini Sister Stella Mgaya akimkaribisha Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga alipofika wakati wa mahafali ya wasichana 46 waliokimbia ukeketaji. |
Baadhi ya watoto waliokimbia ukeketaji wakiwa katika maandano kuelekea eneo walilofanyia m |
No comments :
Post a Comment