Pages

Tuesday, January 3, 2017

Tutaendelea kupambana na wanaoendeleza vitendo vya ukeketaji-SIHABA NKINGA


ukek

Mkurugenzi wa Kituo cha Kulea Watoto waliokimbia Kukeketwa cha (ATFGM-Massanga) kilichopo Tarime Vijijini Sister Stella Mgaya akimkaribisha Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga alipofika wakati wa mahafali ya wasichana 46 waliokimbia ukeketaji.

Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara kuu ya
Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga akisaini kitabu cha wageni alipofika
katika Kituo cha Kulea Watoto waliokimbia Kukeketwa cha (ATFGM-Massanga)
pembeni ni Mkurugenzi wa Kituo hicho Sister Stella Mgaya.


Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara kuu ya
Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga akitembelea maeneo mbalimbali katika Kituo
cha Kulea Watoto waliokimbia Kukeketwa cha (ATFGM-Massanga).


Baadhi ya watoto waliokimbia ukeketaji wakiwa
katika maandano kuelekea eneo walilofanyia m

No comments:

Post a Comment