Afisa Uhusiano wa Manisapaa ya
Ilala Bi Tabu Shaibu akifafanua kwa waandishi wa Habari Leo Jijini Dar
es salaam kuhusu mikakati ya manispaa hiyo katika kuwaletea wananchi
maendeleo. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Habari MAELEZO bi Zamaradi
Kawawa.
Afisa Uhusiano wa Manispaa ya
Ilala Bi Tabu Shaibu akizungumza wakati wa mkutano wa waandaishi wa
Habari Leo Jijini Dar es salaam kuhusu umuhimu wa wananchi kulipa kodi
ya mabango ili kuchochea maendeleo katika manispaa hiyo. Kushoto ni
Mkuu wa Sehemu ya Usalama barabarani na mabango Manispaa ya Ilala Bw.
James Batinagwa.
Mkuu wa Sehemu ya Usalama
barabarani na mabango Manispaa ya Ilala Bw. James Batinagwa
(kushoto)akisisitiza kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) umuhimu wa
kutii sheria bia shuruti kwa kulipa kodi ya mabango kwa mujibu wa
sheria na kanuni.katikati ni Afisa Uhusiano wa Manispaa hiyo Bi Tabu
Shaibu na kulia ni Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Habari MAELEZO bi
Zamaradi Kawawa.
Baadhi ya waandishi wa Habari
wakifuatilia mkutano wa manispaa ya Ilala na waandishi wa habari leo
Jijini Dar es salaam ulioenga kueleza mikakati ya Manispaa hiyo katika
kuwaletea wananchi maendeleo.
(Picha na Frank Mvungi-Maelezo)
No comments :
Post a Comment