Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka
Hamdu Shaka akizungumza na watumishi wa UVCCM Makao Makuu kutathmini
utendaji wa jumuiya kwa mwaka 2016 na kupanga mikakati ya mwaka 2017
pamoja na kusikiliza michango mawazo na changamoto mbali mbali
zinazowakabili watumishi hao na namna ya kuzitatua ili mwaka 2017 uwe wa
mafanikio zaidi.
”Tuongeze bidii ya kazi kila
mmoja katika nafasi yake nilazima afahamu na kutambua ya kwamba kila
mfanyakazi wa jumuiya katika eneo lake, mchango wake na juhudi za zake
zinahitajika sana hasa katika hichi kipindi cha kuleta mageuzi makubwa
ya kiutendaji kwa wanachama wetu ”Alisema Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka
Hamdu Shaka wa kwanza kushoto akizungumza na watumishi wa UVCC Makao
Makuu Upanga Dar es Salaam leo.
:Mkuu wa Utawala UVCCM Ndg:Omary
Ng’wanang’walu liposimama kuzungumza katika kikao hicho cha kutathmini
utendaji wa jumuiya kwa mwaka 2016 na kupanga mikakati ya mwaka 2017
leo Makao Makuu UVCCM Upanga Dar es Salaam .
Kaimu Mkuu wa Idara ya
Hamasa,Sera,Utafiti na Mawasiliano Ndg:Mtemi Sylvester Yaredi
akizungumzia juu ya Mikakati ya Maswala Mbalimbali katika idara yake
katika kikao hicho cha kutathmini utendaji wa jumuiya kwa mwaka 2016
na kupanga mikakati ya mwaka 2017 leo Makao Makuu UVCCM Upanga Dar es
Salaam .
Kaimu Mkuu wa Idara ya Uchumi na
Fedha Bi:Tumain Mwakasege akizungumzia juu ya Mikakati Mbalimbali
katika idara yake katika kikao hicho cha kutathmini utendaji wa jumuiya
kwa mwaka 2016 na kupanga mikakati ya mwaka 2017 leo Makao
Makuu UVCCM Upanga Dar es Salaam
Mtumishi Wa Makao Makuu UVCCM
Ndg:Pamphil James Hwago wa kwanza kushoto akimuelezea Kaimu Katibu Mkuu
Shaka wa kwanza kuli juu ya changamoto za maswala mbali mbali
yanayowakabili Watumishi Makao Makuu UVCCM Upanga Dar es Salaam leo.
No comments :
Post a Comment