Naibu Waziri waOfisi ya
RaisTawalazaMikoanaserikalizaMitaaBw.SuleimanJaffoaliyesimamaakiongeanawazalishajichumvikutokamikoambalimbali
ya Tanzania
hawapopichaniwakatiwamkutanomkuuwamwakawawazalishajichumviuliofanyikajijini
Dar es salaamkatikatiniMkrugenziMsaidiziwamasuala ya Kinga Wizara ya
afyaBw. VicentAssey.
MkrugenziMsaidiziwamasuala ya
Kinga Wizara ya afyaBw.
VicentAsseyakiongeanawazalishajichumvikutokamikoambalimbali ya Tanzania
hawapopichaniwakatiwamkutanomkuuwamwakawawazalishajichumviuliofanyikajijini
Dar es salaamkuliaaliyekaaniMkrugenziwaMafunzowamaendeleo ya
wataalamukutokaWizara ya AfyaDkt. OtiliaGowelle.
Wazalishajichumvikutokamikoambalimbali
ya Tanzania wakimsikilizaMkrugenziwaMafunzowamaendeleo ya
wataalamukutokaWizara ya AfyaDkt.
OtiliaGowellehayupopichaniwakatiwamkutanomkuuwamwakawawazalishajichumviuliofanyikajijini
Dar es salaam.
Picha Na Ally Daud-Maelezo.
……………..
Na Ally Daud-MAELEZO
WATANZANIA
wamesisitizwakutumiachumviyenyemadinijotokwawingiilikuepukamadharayatokanayonaukosefuwamadinihayokwenyemwiliwabinadamukwaukuaji
bora hasawatoto.
HayoyamesemwanaMkrugenziwaMafunzowamaendeleo
ya wataalamukutokaWizara ya AfyaDkt.
OtiliaGowellekatikaufunguziwamkutanomkuuwamwakawawazalishajichumviuliofanyikajijini
Dar es salaam.
“Asilimia 63
ndiowatanzaniawanaotumiachumviyenyemadinijotohivyotunawahasawananchiwawezekutumiamadinihayokwaniusipotumiayanaletamapungufumengikwabinadamunamadharayakenimtotoakizaliwaanakuanjiti”
alisemaDkt. Gowelle.
AidhaDkt.
GowelleamesemakuwaSerikaliimekusudiakuhakikishawananchizaidi ya asilimi
90 wanatumiachumviyenyemadinijotohadikufikia 2020 ilikuepukakizazi cha
watotowalemavu ,
wadumavu,utindiowaubongonawenyeutapiamlokutokananaukosefuwamadinihayo.
Kwa upande wake Naibu Waziri
waOfisi ya
RaisTawalazaMikoanaserikalizaMitaaBw.SuleimanJaffoamesemakuwawapotayarikuwapiganinakuwasaidiawazalishajiwachumvikatikakutatuachangamotozaokwenyeuzalishajiwachumvizenyemadinijoto.
AidhaBw.
Jaffoalisemakuwakatikakuhakikishakuinuauchumiwanchikupitiaviwandanilazimaitazamenawashalishajiwabidhaazinginehasauzalishajiwachumviilikupanuawigowamasokondaninanje
ya nchi.
NayeMkrugenziMsaidiziwamasuala ya
Kinga Wizara ya afyaBw.
VicentAsseyamesemakuwawatanzaniahawanabudikutumiachumvizenuyemadinijotoilikuondoakizazichenyematatizo
ya kiafya.
No comments :
Post a Comment