Pages

Tuesday, December 6, 2016

WATANZANIA WASISITIZWA KUTUMIA MADINI JOTO. koko

koko
Naibu Waziri waOfisi ya RaisTawalazaMikoanaserikalizaMitaaBw.SuleimanJaffoaliyesimamaakiongeanawazalishajichumvikutokamikoambalimbali ya Tanzania hawapopichaniwakatiwamkutanomkuuwamwakawawazalishajichumviuliofanyikajijini Dar es salaamkatikatiniMkrugenziMsaidiziwamasuala ya Kinga Wizara ya afyaBw. VicentAssey.
koko-1
MkrugenziMsaidiziwamasuala ya Kinga Wizara ya afyaBw. VicentAsseyakiongeanawazalishajichumvikutokamikoambalimbali ya Tanzania hawapopichaniwakatiwamkutanomkuuwamwakawawazalishajichumviuliofanyikajijini Dar es salaamkuliaaliyekaaniMkrugenziwaMafunzowamaendeleo ya wataalamukutokaWizara ya AfyaDkt. OtiliaGowelle.
koko-2
Wazalishajichumvikutokamikoambalimbali ya Tanzania wakimsikilizaMkrugenziwaMafunzowamaendeleo ya wataalamukutokaWizara ya AfyaDkt. OtiliaGowellehayupopichaniwakatiwamkutanomkuuwamwakawawazalishajichumviuliofanyikajijini Dar es salaam.
Picha Na Ally Daud-Maelezo.

……………..
Na Ally Daud-MAELEZO
WATANZANIA wamesisitizwakutumiachumviyenyemadinijotokwawingiilikuepukamadharayatokanayonaukosefuwamadinihayokwenyemwiliwabinadamukwaukuaji bora hasawatoto.
HayoyamesemwanaMkrugenziwaMafunzowamaendeleo ya wataalamukutokaWizara ya AfyaDkt. OtiliaGowellekatikaufunguziwamkutanomkuuwamwakawawazalishajichumviuliofanyikajijini Dar es salaam.
“Asilimia 63 ndiowatanzaniawanaotumiachumviyenyemadinijotohivyotunawahasawananchiwawezekutumiamadinihayokwaniusipotumiayanaletamapungufumengikwabinadamunamadharayakenimtotoakizaliwaanakuanjiti” alisemaDkt. Gowelle.
AidhaDkt. GowelleamesemakuwaSerikaliimekusudiakuhakikishawananchizaidi ya asilimi 90 wanatumiachumviyenyemadinijotohadikufikia 2020 ilikuepukakizazi cha watotowalemavu , wadumavu,utindiowaubongonawenyeutapiamlokutokananaukosefuwamadinihayo.
Kwa upande wake Naibu Waziri waOfisi ya RaisTawalazaMikoanaserikalizaMitaaBw.SuleimanJaffoamesemakuwawapotayarikuwapiganinakuwasaidiawazalishajiwachumvikatikakutatuachangamotozaokwenyeuzalishajiwachumvizenyemadinijoto.
AidhaBw. Jaffoalisemakuwakatikakuhakikishakuinuauchumiwanchikupitiaviwandanilazimaitazamenawashalishajiwabidhaazinginehasauzalishajiwachumviilikupanuawigowamasokondaninanje ya nchi.
NayeMkrugenziMsaidiziwamasuala ya Kinga Wizara ya afyaBw. VicentAsseyamesemakuwawatanzaniahawanabudikutumiachumvizenuyemadinijotoilikuondoakizazichenyematatizo ya kiafya.

No comments:

Post a Comment