Tuesday, December 6, 2016

Vijana wajasiriamali watembelea shamba la Pinda mkoani Dodoma


unm
Mkurugenzi wa Shirika la kazi kwa nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda, Dk. Mary Kawar akielezea lengo la safari hiyo kuwa ni nafasi ya vijana kujifunza jinsi kilimo kinavyoweza kutumika katika kujitengenezea ajira. Dk. Kawar pia alitoa pole kwa Mh. Pinda ambaye amempoteza baba yake mzazi hivi karibuni.
pind1
Mashine ya kisasa ambayo hutumika kukamua maziwa 
pind2
Wakitembea ndani ya shamba hilo lenye ukubwa wa takribani
pind3
Vijana wakiangalia ngo`mbe wa kisasa wa maziwa ambao wapo ndani ya shamba hilo ambapo mimosa peek huweza kutoa takribani lita saba kwa siku.
pind4
Wakitembea ndani ya shamba hilo lenye ukubwa wa takribani ….

pind5

No comments :

Post a Comment