Thursday, December 29, 2016

UVCCM WAMFARIJI MSANII BEN WA BONGO MOVIE


um
UVCCM inathamini sana mchango wa wasanii wa ndani na  inaguswa na  changamoto na matatizo mbali mbali yanayopata  wasanii hivyo Jumuiya itaendelea kuwa nao karibu kwa kuzingatia umuhimu wao katika jamii na Chama Cha Mapinduzi. Alisema Mwenyekiti wa UVCCM Taifa  Mhe:Sadifa Juma Khamisi(MCC/MB) alipokwenda Kumjulia Hali Msanii wa Bongo Movie Abdul Ahmad jina maarufu Ben Serengo wa pili kulia  na wa tatu kulia ni Kaimu katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka.
um-1
 Mwenyekiti wa UVCCM Taifa  Sadifa Juma Khamisi(MCC/MB)  wa nne kulia akitizama picha mbali mbali za tukio la ajali Msanii wa Bongo Movie Abdul Ahmad jina maarufu Ben  Serengo wa Tatu kulia iliyotokea tareh 25 Siku ya Skukuu ya Christmas.
um-2
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa  Sadifa Juma Khamisi(MCC/MB) wa Tatu kushoto akizungumza na mama wa msanii Bi Jasmin Rajabu Hatia Mara baada ya kutoka kumuona mgonjwa

No comments :

Post a Comment