Wasanii
wanaowania tunzo za EATVleo walifanya semina na wanafunzi wa Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam ilikuwapa uthubutu wa kutambua vipaji vyao na
kuvifanyia kazi ili kuweza kukabiliana na soko la ajira pindi
watakapomaliza masomo yao.
Semina
hiyo iliyoendeshwa na benki ya Barclays chini ya pango wake wa ready to
Work ilifanyikakatika ukumbi wa Nyerere uliopo katika eneo la Chuo
Kikuu Mlimani ambapo jumla ya wasanii 45 waliochaguliwa kuwania tunzo za
EATV walihudhuria.
PICHANI
JUU: Mwakilishi kutoka Barclays Bank, Joe Bendera akiongea na
wanahabari waliohudhuria seminaya wasanii kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu
cha Dar es salaam yenye lengo la kuelimisha wanavyuo kuhusiana na
kugundua vipaji vyao na kuvifanyia maamuzi baada ya masomo ilikukwepa
adha ya ukwasi wa ajira inayolikabili Taifa
Hapa ni Kajala Masanja anayewania tunzo ya muigizaji bora wa Kike akiongea na wanahabariBaadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha dar es Salaam wakisikiliza shuhuda za wasanii mbali mbali wanaowania tunzo za EATV katika semina ya ushawishi wa kugundua vipaji vyao na kuvifanya kazi iitwayo Ready to Work inayosimamiwa na benki ya Barclays
Mjadala ukiendelea
Lady Jaydee amble anawania tunes ya msanii Bora wa kike akijibu maswali ya wanafunzi
Mmoja kati ya wasanii wanaowania tunzo ya Msangi Bora wa kiume Daudi Tairo a.k.a Duma akijibu hoja za wanafunzi
Khadija Ally anayewania tunzo ya
muigizaji bora wa kike akiongea wakati wa semina ya Ready to Work
inayoshirikisha wasanii wanaowania tunzo za EATV
Mwakilishi wa Benki ya Barclays akijibu hoja za wanafunzi kuhusiana na mpangowa Ready to Work unaoendeshwa na benki hiyo
Mwanafunzi akiuliza swali
Kahala Masanja akijibu hoja
No comments :
Post a Comment