Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na watumishi wa serikali na halmashauri ya wilaya ya Karatu
kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari ya Karatu akiwa katika zira ya mkoa
wa Arusha, Deemba 5, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha mrisho
Gambo na kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Arusha, Lekule Laiza.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya watumishi wa serikali
na halmashauri ya wilaya ya Karatu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari ya
Karatu akiwa katika ziara ya mkoa wa Arusha Desemb 5, 2016. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Kasim Majaliwa
akizungumza na watumishi wa serikali na halmashauri ya wilaya ya
Karatu kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari ya Karatu akiwa katika zira
ya mkoa wa Arusha, Deemba 5, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na viongozi wa wilaya ya Karatu baada ya kuwasili kwenye
shule ya sekondari ya Karatu kuzungumza na watumishi wa serikali na
halmashauri ya wilaya ya Karatu Desemba 5, 2016. (Picha na Ofisi ya
Wairi Mkuu)
No comments :
Post a Comment