Pages

Monday, December 5, 2016

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA SERIKALI NA HALMASHAURI YA WILAYA YA KARATU

oki2
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa serikali na  halmashauri ya wilaya ya Karatu kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari ya Karatu akiwa katika zira ya mkoa wa Arusha, Deemba 5, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha mrisho Gambo na kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Arusha, Lekule Laiza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
oki3
Baadhi ya watumishi wa serikali na halmashauri ya wilaya ya Karatu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari ya Karatu akiwa katika ziara ya mkoa wa Arusha Desemb 5, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
oki4 oki5
Waziri Mkuu,Kasim Majaliwa akizungumza na  watumishi wa serikali na  halmashauri ya wilaya ya Karatu kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari ya Karatu akiwa katika zira ya mkoa wa Arusha, Deemba 5, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
oki6
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa wilaya ya Karatu baada ya kuwasili kwenye shule ya sekondari ya Karatu kuzungumza na watumishi wa serikali na halmashauri  ya wilaya ya Karatu Desemba 5, 2016. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)

No comments:

Post a Comment