Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili,
Ali Hassan Mwinyi akiwatunuku wahitimu wa kozi mbalimbali katika
mahafali ya Chuo Kikuu cha Kampala cha jijini Dar es Salaam kwenye
sherehe za mahafali.
Baadhi ya waadhiri wa chuo hicho wakiwa
kwenye mahafali hayo ya wahitimu wa ngazi ya digree kozi ya afya wakila
kiapo cha kuhitimu fani .
Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili,
Ali Hassan Mwinyi (kushoto) na mgeni rasmi katika mahafali ya Chuo
Kikuu cha Kampala cha jijini Dar es Salaam akiteta jambo na Makamu Mkuu
wa chuo hicho, Profesa Muhammad Ndaula katika mahafali hayo
yaliyofanyika jana.
Sehemu ya wahitimu wakiwa katika mahafali hayo Sehemu ya wakufunzi na wahitimu wa Chuo Kikuu cha Kampala wakiwa kwenye mahafali.
No comments :
Post a Comment