Amiri
Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli akitunuku kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi wa Kundi la
59/15 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu
jijini Dar es salaam Novemba 26, 2016
Amiri
Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli akikagua gwaride la heshima linaloundwa na Maafisa
Wanafunzi wa Kundi la 59/15 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ)
kabla hajawatunuku kamisheni katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es
salaam Novemba 26, 201
Amiri
Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli akiweka saini kwenye hati ya kamisheni kwa Maafisa
Wanafunzi wa Kundi la 59/15 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ)
kabla hajawatunuku katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 26, 201
Amiri
Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli akiongea baada ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa
Wanafunzi wa Kundi la 59/15 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ)
katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 26,
201
PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment