Mkuu
wa Wilaya Ilala Sophia Mjema, akizungumza na wananchi ambao
hufanyabiashara ndogondogo karibu Stendi Kuu ya Mabasi na Mwendokasi,
Karikakoo, Dar es Salaam. Mjema amewataka wafanyabiashara hao kuacha
kufanya biashara zao katika barabara ya Mwendokasi kama
ilivyokwishapigwa marufuku na badala yake, kuhamia katika maeneo ambayo
Manispaa ya Ilala imewaelekeza ikiwa ni pamoja na masoko matano na
katika barabara za Lumumba na Mkunguni kuanzia Ijumaa hadi Jumapili.
Mkuu
wa Wilaya Ilala Sophia Mjema, akizungumza na wananchi ambao
hufanyabiashara ndogondogo karibu Stendi Kuu ya Mabasi na Mwendokasi,
Karikakoo, Dar es Salaam. Mjema amewataka wafanyabiashara hao kuacha
kufanya biashara zao katika barabara ya Mwendokasi kama
ilivyokwishapigwa marufuku na badala yake, kuhamia katika maeneo ambayo
Manispaa ya Ilala imewaelekeza ikiwa ni pamoja na masoko matano na
katika barabara za Lumumba na Mkunguni
kuanzia Ijumaa hadi Jumapili
Mkuu
wa Wilaya Ilala Sophia Mjema, akizungumza na wananchi ambao
hufanyabiashara ndogondogo karibu Stendi Kuu ya Mabasi na Mwendokasi,
Karikakoo, Dar es Salaam. Mjema amewataka wafanyabiashara hao kuacha
kufanya biashara zao katika barabara ya Mwendokasi kama
ilivyokwishapigwa marufuku na badala yake, kuhamia katika maeneo ambayo
Manispaa ya Ilala imewaelekeza ikiwa ni pamoja na masoko matano na
katika barabara za Lumumba na Mkunguni kuanzia Ijumaa hadi Jumapili
Mmoja
wa wafanyabiashara ndogondogo katika eneo la Barabara ya mabasi ya
Mwendokasi, Kariakoo Dar es Salaam, akitoa dukuduku lake wafanyabiashara
walipozungumza na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema
Mmoja
wa wafanyabiasra ndogondogo katika eneo la Barabara ya mabasi ya
Mwendokasi, Kariakoo Dar es Salaam, akitoa dukuduku lake wafanyabiashara
walipozungumza na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema
Mkuu
wa Wilaya Ilala Sophia Mjema, akizungumza na wananchi ambao hufanya
biashara ndogondogo karibu Stendi Kuu ya Mabasi na Mwendokasi,
Karikakoo, Dar es Salaam. Mjema amewataka wafanyabiashara hao kuacha
kufanya biashara zao katika barabara ya Mwendokasi kama
ilivyokwishapigwa marufuku na badala yake, kuhamia katika maeneo ambayo
Manispaa ya Ilala imewaelekeza ikiwa ni pamoja na masoko matano na
katika barabara za Lumumba na Mkunguni kuanzia Ijumaa hadi Jumapili
Mkuu
wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema akimhoji kijana wa Machinga kwenye
barabara ya Mabasi ya Mwendokasi. Nyuma yake ni Katibu Tawala wilaya ya
Ilala Edward Mpogolo
Mkuu
wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema akitazama barabara ya Nabasi ya
Mwendokasi baada ya kuzungumza na machinga katika barabara hiyo eneo la
Kariakoo, leo. Kulia ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo
Mgambo
wa Manispaa ya Ilala Dar es Salaam, wakiwa wameimarisha ulinzi wakati
Mjema alipozungumza ana machinga karibu na Stendi Kuu ya mabasi ya
Mwendokasi Kariakoo, Dar es Salaam, leo
Askari
akiwa wameimarisha ulinzi wakati Mjema alipozungumza ana machinga
karibu na Stendi Kuu ya mabasi ya Mwendokasi Kariakoo, Dar es Salaam,
leo
Kijana
machinga wa Kimasai akiwa na bidhaa zake wakati Mjema alipozungumza ana
machinga karibu na Stendi Kuu ya mabasi ya Mwendokasi Kariakoo, Dar es
Salaam, leo
Kijana
machinga wa akiwa na bidhaa zake za mabegi wakati Mjema alipozungumza
ana machinga karibu na Stendi Kuu ya mabasi ya Mwendokasi Kariakoo, Dar
es Salaam, leo
Mkuu
wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akitoa maagizo baada ya kuzungumza na
machinga karibu na Stendi Kuu ya mabasi ya Mwendokasi Kariakoo, Dar es
Salaam, leo
Mkuu
wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema akitazama bidhaa katika Soko la Kivule
CCM alipotembelea soko hilo, kwa ajili ya kuona namna Halmashauri ya
Ilala itakavyoweza kuwapatia fursa machinga kufanya biashara zao katika
soko hilo
Mfannyabiashara
katika soko la Kivule CCM akiwa kwenye biashara zake, Mkuu wa Wilaya ya
Ilala, alipotembelea soko hilo, kwa ajili ya kuona namna Halmashauri ya
Ilala itakavyoweza kuwapatia fursa machinga kufanya biashara zao katika
soko hilo
Mkuu
wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akishauriana jambo na Katibu Tawala wa
Wilaya hiyo, Edward Mpogolo, walipokagua soko la Kivule CCM, leo
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akizungumza na waandishi wa habari wa habari baada ya kukagua soko la Kivule leo
Mkuu
wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema akizungumza na baadhi ya viongozi wa
Machinga wa wilaya ya Ilala alipokagua soko la Kivule CCM leo

Machinga wa wilaya ya Ilala alipokagua soko la Kivule CCM leo. Kushoto
ni Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Edwad Mpogolo
Soko la Kivule ambako machinga wanaandaliwa ili kuhamia katika soko hilo
Mkuu
wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema akizungumza na baadhi ya viongozi wa
Machinga wa wilaya ya Ilala alipokagua soko la Kivule CCM leo
Mkuu
wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akifanya majumuisho na waandishi wa
habari baada ya ziara yake ya kukagua masoko na kuzungumza na machinga
katika ameneo mbalimbali kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa agizo la
Rais John Magufuli kuwataka viongozi kutowatimua machinga katika eneo
lolote bila kuandaa maeneo ya kuwahamishia.PICHA ZOTE NA BASHIR
NKOROMO-theNkoromo Blog
No comments :
Post a Comment