Baadhi ya wabunge wakiwasili katika viwanja vya Bunge kuhudhuria mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Bunge Mhe. Najma Giga akiongoza mkutano wa tano wa Bunge la 11 unaoendelea Mjini Dodoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu
Kazi na Ajira Mhe. Anthony Mavunde akijibu hoja mbalimbali za wabunge
katika mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista
Mhagama akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano wa tano wa
Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi
na Mawasiliano Mhe. Mhandisi Edwin Ngonyani akijibu hoja mbalimbali za
wabunge katika mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini
Dodoma.
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na
Teknolojia Mhe. Stela Manyanya akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika
mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akijibu hoja mbalimbali za wabunge
katika mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Mhe. Angela Mabula akijibu hoja mbalimbali za
wabunge katika mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini
Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.
Dkt Philip Mpango akiwasilisha Bungeni mapendekezo ya Maendeleo ya Taifa
kwa mwaka 2017/2018 katika mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea
Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya
Bajeti Mhe. Hawa Ghasia akiwasilisha taarifa ya kamati yake kuhusiana na
mapendekezo ya Maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2017/2018 katika mkutano wa
tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson akijadiliana jambo na
Mbunge wa Sengerema Mhe. William Ngeleja wakati wa mkutano wa tano wa
Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa(kulia) akijadiliana jambo na
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angela
Mabula(kushoto) wakati wa mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea
Mjini Dodoma.
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likiendelea na mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
No comments :
Post a Comment