Pages

Wednesday, November 2, 2016

MATUKIO YALIYOJIRI BUNGENI KATIKA PICHA

bun1
Baadhi ya wabunge wakiwasili katika viwanja vya Bunge kuhudhuria mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
bun2
Mwenyekiti wa Bunge Mhe. Najma Giga akiongoza mkutano wa tano wa Bunge la 11 unaoendelea Mjini Dodoma.
bun3
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi na Ajira Mhe. Anthony Mavunde akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
bun4
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira na  watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
bun5
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Mhandisi Edwin Ngonyani akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
bun6
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Stela Manyanya akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
bun8
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
bun9
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angela Mabula akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
bun10
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Philip Mpango akiwasilisha Bungeni mapendekezo ya Maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2017/2018 katika mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
bun11
Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Bajeti Mhe. Hawa Ghasia akiwasilisha taarifa ya kamati yake kuhusiana na mapendekezo ya Maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2017/2018 katika mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
bun12
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson akijadiliana jambo na Mbunge wa Sengerema Mhe. William Ngeleja wakati wa mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
bun13
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa(kulia) akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angela Mabula(kushoto) wakati wa mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.
bun14
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likiendelea na mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment