Monday, August 29, 2016

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA UHURU KENYATTA NAIROBI

MANCHESTER CITY YAENDELEZA UBABE, MIDDLESBROUGH YATOKA SARE

WEST HAM YANAMNASA MSHAMBULIAJI SIMONE ZAZA

UZINDUZI WA DR.AMON MKOGA FOUNDATION SOUTHERN SUN HOTEL TAREHE 25/8/2016

REAL MADRID IKIWA BILA RONALDO YAIFUNGA CELTA VIGO

Mjerumani Toni Kroos ameifungia Real Madrid goli la ushindi dhidi ya Celta Vigo katika mchezo uliomalizika kwa ushindi wa magoli 2-1.

Katika mchezo huo, Alvaro Morata, aliipatia Real Madrid goli la kwanza mnamo dakika ya 60, hata hivyo Fabian Orellana aliisawazishia Celta Vigo kwa goli safi.
Toni Kroos aliifanya Real Madrid iongoze kwa shuti la karibu katika dakika ya 81 baada ya James Rodriguez aliyetokea benchi kutumia mwanya wa makosa na kuchangia goli hilo.
                           Toni Kroos akiachia shuti lililoipa Real Madrid goli la ushindi
         Mchezaji nyota wa Real Madrid Gareth Bale akiruka juu na kupiga mpira kwa kichwa

No comments :

Post a Comment