Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Uongozi wa Mtandao wa Wanawake Tanzania (WFT) wakati
viongozi hao walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam,leo Nov
24, 2015 kwa mazungumzo. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akipokea baadhi ya Vipeperushi na Vitabu vya Mtandano wa Wanawake
Tanzania (WFT) kutoka kwa mwenyekiti wa mtandao huo, Prof.Ruth Meena,
baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini
Dares Salaam, leo Nov 24, 2015. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Mtandao wa Wanawake
Tanzania (WFT) baada ya mazungumzo yao yao yaliyofanyika Ofisini kwa
Makamu Ikulu jijini Dares Salaam, leo Nov 24, 2015. Picha na OMR
……………………………………………………………………………………….
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na uongozi
wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania (WFT) ambapo amezungumzia
dhamira ya serikali katika kuyatafutia ufumbuzi matatizo mbali mbali
yanayowakabili wanawake na watoto wa kike nchini.
Katika mazungumzo hayo Makamu wa
Rais aliueleza ujumbe huo kuwa wakati wa kampeni aliahidi pamoja na kazi
za kumsaidia Mhe. Rais bado kama mama atafuatilia kwa karibu
utekelezaji wa ahadi ya kupatikana kwa maji safi na salama, kuboresha
afya ya mama na mtoto, elimu na mazingira.
“Nilipokuwa kwenye kampeni
nimejionea shida ya maji na wanawake ndiyo wanaopata tabu ya kutembea
mwendo mrefu kutafuta maji. Kwa hiyo, pamoja na kazi zangu za kumsaidia
Mhe. Rais nitasimamia miradi yote ya maji, alau tuhakikishe maji
yanapatikana umbali wa mita 400 kutoka eneo wananchi wanakoishi au
karibu zaidi”.
Alisema kinachofurahisha zaidi
suala la maji liko kwenye Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) na miradi
mingi ikiwemo ya kuchimba visima virefu katika mikoa kama vile ya
Singida na Dodoma iko kwenye mchakato na cha msingi ni kusimamia fedha
zinatumika kuleta maji kama ilivyokusudiwa.
Kuhusu afya ya mama na mtoto
alisema kazi hiyo ataianza hivi karibuni kwa kushirikiana na Mashirika
yasiyo ya kiserikali yanayotetea haki za wanawake ili kupunguza vifo
vinavyosababishwa na mimba za utotoni.
“Hili tutajitahidi kulipunguza kwa
kiasi kikubwa na hasa baada ya serikali ya Awamu ya Nne kusema kwamba
shule ya msingi ya lazima ni kutoka darasa la kwanza hadi kidato cha
nne”, alisema na kuongeza
“Katika kipindi hicho binti
atakuwa amefikisha miaka 17, atakuwa tayari kukabiliana na mambo ya
uzazi tofauti na ilivyo sasa ambapo anamaliza darasa la akiwa mdogo na
matokeo yake anapata mimba katika umri mdogo. Mtusaidie kupiga debe huko
nje utekelezaji uweze kufanikiwa.”
Hata hivyo, alisisitiza kusimamia
suala la kuhakikisha zahanati, vituo vya afya na hospitali nchini
zinakuwa na dawa na vifaa tiba vya kutosha katika wodi za wazazi kwa
ajili ya kuhudumia akina mama na wananchi kwa ujumla ambao wengi
wanaonekana ni watiifu kwa serikali yao.
Kwa upande wa elimu Mhe. Samia
alisema atasimamia ujenzi wa mabweni kwa watoto wa kike na kuhakikisha
mazingira yanatunzwa kwa sababu uharibifu wa mazingira ndiyo umekuwa
chanzo cha upungufu wa maji nchini.
Aidha aliuambia ujumbe huo kuwa
hivi sasa tuna mpango wa kuimarisha utendaji serikalini kuanzia serikali
kuu hadi serikali za mitaa ili kinachopatikana kidogo kimfikie kila
mwananchi.
“Tutaendelea kuaihirisha sherehe
ili fedha hizo ziweze kutumika kwa mambo ya kijamii. Kwa msimamo huu
amabao Mhe. Rais ameanza nao labda watu wote tushirikiane kwa kutatua
matatizo yetu kwa gharama nafuu kwa ufanisi mkubwa.”
Mapema akizungumza kwa niaba ya
wenzake Mwenyekiti wa Mtandao huo Prof Ruth Meena alimpongeza Mhe. Samia
kwa kushika nafasi ya juu ya uongozi akiwa mwanamke wa kwanza kuweka
historia katika Tanzania.
Alimweleza Mhe. Makamu wa Rais
matarajio yao kwa serikali ya Awamu ya Tano kuwa itatetea misingi ya
haki na usawa katika Nyanja zote.
Imetolewa na Ofisi ya Makamu wa Rais
Dar es salaam
Tamisemi yampongeza Waziri Mkuu
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa
akiongea na baadhi ya vingozi na watendaji wakuu wa Ofisi ya Waziri
Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) alipotembelea
Wizara hiyo kwa lengo la kuongea viongozi hao kuhusu utendaji kazi wenye
tija kwa wananchi leo jijini Dar es salaam.
Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(TAMISEMI) akitoa taarifa fupi kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa alipotembelea Wizara hiyo leo jijini
Dar es salaam.
……………………………………………………………………….
Na Shamimu Nyaki-Maelezo
Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za
Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) imempongeza Mhe. Majaliwa Kassimu
Majaliwa kwa kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Kumi na Mmoja wa Serikali ya
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na kuahidi kushirikiana naye kwa karibu
katika utekelezaji wa majukumu yake.
Akizungumza kwa niaba ya wafanyakazi wa (TAMISEMI),Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Jumanne Sagini amewaagiza watumishi katika wizara hiyo kufanya kazi kwa bidii kwa kuzingatia maadili ya kazi pamoja na kujiepusha na tabia ya uzembe, uvivu na wizi katika maeneo yao ya kazi.
Katika halfa hiyo iliyofanyika kwenye, Ofisi za TAMISEMI amewasilisha majukumu ya ofisi na muundo uliopo katika ofisi ikiwa ni pamoja na idara na taasisi zilizopo katika wizara hiyo zitakazo kuwa chini ya Waziri Mkuu huyo.
Aidha TAMISEMI imemuhakikishia Waziri Mkuu kuwa itafanya naye kazi kwa kasi kubwa kwa kuzingatia sheria na kanuni zilizopo katika ofisi hiyo ili kuleta mafanikio chanya ndani ya Serikali kwakuwa wizara hiyo ndio inayoshughulikia kwa kiasi kikubwa utekelezaji wa sera za maendeleo kwa wananchi.
Akizungumzia kuhusu hotuba ya Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa Bungeni hivi karibuni, Katibu Mkuu huyo amewaambia waandishi wa habari kuwa watasimamia na kutekeleza yote yalioainishwa na Mhe. Rais hasa kuhusu suala la elimu ya sekondari na msingi kwakuwa wao ndio watendaji na wasimamizi katika sekta ya hiyo.
Hata hivyo ameziagiza halmashauri zote nchini kuhakikisha zinasimamia ujenzi wa nyumba za waalimu,madarasa pamoja na maabara kwakuwa wao ndio wenye mamlaka ya kusimamia suala hilo katika utekelezaji wake.
“Wakurugenzi wa halmashauri wao ndio watekelezaji wakuu wa katika kusimamia ujenzi wa madarasa,nyumba za waalimu zenye heshima kwa waalimu”alisema Katibu Mkuu Sagini.
Aliongeza kuwa ushirikiano miongoni mwa wanyafakazi katika ofisi hiyo utamuwezesha kutekeleza majukumu yake kwa urahisi na kasi kubwa katika kuwatumikia wananchi wa Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MADAI YA WAKULIMA WADOGO WA MIWA WA KILOMBERO KUKOSA SOKO
Katibu
Mkuu Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika Bibi Sophia Kaduma ameiagiza
Bodi ya Sukari Tanzania, kushughulikia mara moja madai ya wakulima
wadogo wa miwa (outgrowers) katika Kiwanda cha Sukari cha Kilombero
kilichopo Mkoani Morogoro yaliotokana na miwa yao kutonunuliwa na
kiwanda.
Katika agizo hilo, Katibu Mkuu Bibi Sophia Kaduma ameiagiza Bodi ya Sukari Tanzania kukuta na Uongozi wa Kiwanda cha Sukari cha Kilombero na ule wa wakulima wadogo wa miwa ili kupata ufumbuzi wa kudumu kuhusu soko la miwa wanayozalisha.
Aidha, Katibu Mkuu ametoa muda wa siku saba kwa Bodi ya Sukari Tanzania iwe imetekeleza na kutoa taarifa ya utekelezaji wa agizo hilo.
Agizo hilo limekuja kufuatia Serikali kupata taarifa kuwa Uongozi wa Kiwanda hicho umeshindwa kununua miwa ya wakulima hao licha ya makubaliano yao ya awali ya kuzalisha miwa na kukiuzia kiwanda kwa ajili ya kuzalisha sukari. Wakulima wamedai kuwa miwa hiyo, inakadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya shilingi milioni 16.
Bodi ya Sukari Tanzania imeanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Sukari Na. 26 ya mwaka 2001 kama ilivyorekebishwa mwaka 2009 na Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Mazao Na. 20 ya mwaka 2009 (Crop Laws (Miscellenous Amendments) Act).
Bodi ya Sukari Tanzania inajukumu pamoja na mambo mengine, kusimamia na kuratibu kilimo cha miwa na biashara ya sukari nchini, kusajili wakulima, wazalishaji wa sukari na wafanyabiashara wa sukari.
Aidha, Bodi ya Sukari ina dhamana ya kuhakikisha uwepo wa ushindani wa haki kwenye soko la miwa na biashara ya sukari nchini.
Imetolewa na:

Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali
Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika
Kilimo Complex,
1 Mtaa wa Kilimo 15471
DAR ES SALAAM.
Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika
Kilimo Complex,
1 Mtaa wa Kilimo 15471
DAR ES SALAAM.
TIGO Teams up with UNICEF, Champions Innovations for Tanzania’s Children
Tigo,
under Millicom International Cellular (MIC) Tanzania Limited, has
offered to support the children of Tanzania through four projects
initiated and supported by UNICEF Tanzania.
From 2016 – 2018, financial and in-kind contributions worth about TZS $ 354,625,172 (USD $165,000) will be used to support the Under Five Birth Registration Initiative, the National Child Helpline, the ‘Tupime Watoto’ (HIV testing of children) initiative and UNICEF Tanzania’s Innovations Lab.
While signing the memorandum of understanding and handing over of contributions from TIGO to UNICEF, General Manager of Tigo, Mr. Diego Gutierrez said: “Our company is committed to helping children, families and communities in Tanzania. Through this initiative Tigo clearly demonstrates its Corporate Responsibility commitment of mobilizing community through the use of digital solutions. We are proud to be partnering with UNICEF and we will continue to work with UNICEF on other innovative and exciting projects to reach the most vulnerable children.”
While thanking Tigo, UNICEF Tanzania’s Representative, Dr. Jama Gulaid said: “This is not the first time Tigo has shown its commitment to improve the lives of the most disadvantaged. In the past two years, we have worked with Tigo and the Registration Insolvency & Trusteeship Agency (RITA) on an innovative campaign that helps children get birth certificates with minimum hassles.”
“The success of the birth certificate initiative in Mbeya inspired similar action in Mwanza Region. I commend Tigo for its readiness to engage in a public and private sector partnership for children in Tanzania” Dr. Gulaid added.
A name and nationality is every child’s right, enshrined in the Convention on the Rights of the Child. In Tanzania where only one in five children under the age of five is registered at birth, we have much work to do together – the government, private sector, communities and development partners”.
The Mobile birth registration (mBirth) is a tool that can help us. It is simple, affordable and accessible to many in Tanzania. The mBirth project has already been established in two regions – Mbeya and Mwanza – through funding donated by Canada through UNICEF and with assistance from Tigo, RITA and other partners.
The ‘Tupime Watoto’ project aims to expand HIV testing for children in Tanzania using mobile technology. The National Child Helpline was launched in 2013, with the aim to provide a response to child victims of violence and help them to access services. With Tigo’s support, UNICEF will be able to upgrade the National Child Helpline’s call centre to help in providing effective and timely responses to callers and improved access to services.

Mafundi wazishugulikia mashine za MRI na CT-SCAN Muhimbili.
Na Raymond Mushumbusi -Maelezo
Mafundi kutoka kampuni ya Philips
wanaendelea na matengenezo ya mashine za MRI na CT-SCAN katika Hospitali
ya Taifa ya Muhimbili zilizopata hitilafu za kiufundi hivi karibuni.
Akizungumza ofisini kwake leo hii Mkuu wa
Idara ya Uhusiano Hospitali ya Taifa Muhimbili Bw. Aminiel Buberwa
Aligaesha amesema mafundi wapo katika eneo la kazi wakitengeneza hizo
mashine ili ziweze kurudi katika hali yake ya kawaida.
“Tumepewa siku tatu kukamilisha ukarabati wa
hizi mashine hivyo wananchi wawe na subira kwani mashine zikiwa tayari
kwa matumizi tutatoa taarifa” alisema Aligaesha.
Ameongeza kuwa wananchi wawape muda waweze
kuzitengeneza mashine hizo ili ziweze kutengemaa kwa ajili ya kutoa
huduma za MRI na CT-SCAN hospitalini hapo.
Mashine za MRI na CT-SCAN zilianza kufanya
kazi mara baada ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John
Pombe Joseph Magufuli kutembelea hospitali hiyo hivi karibuni na kuagiza
kutengenezwa kwa mashine hizo na baadae kufanya kazi kwa muda wa siku
kadhaa na kuharibika tena kutoka na hitilafu za kiufundi.
Wakati alipotembelea Hospital ya Taifa ya
Muhimbili jana Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue aliagiza mashine
hizo kutengenezwa, ndani ya siku tatu ziwe zimekamilika kwa ajili ya
kutoa huduma kwa wananchi.
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imekuwa ni
kimbilio la wananchi wengi kupata huduma za afya hivyo serikali
inapamabana kwa kila hali kuhakikisha huduma za MRI na CT-SCAN zinarudi
katika hali yake ya kawaida hospitalini hapo.
CAF YAENDESHA SEMINA YA LESENI ZA VILABU
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu
Tanzania (TPLB), Yahya Mohamed leo amefungua semina ya mafunzo ya leseni
za vilabu katika ukumbi wa mikutano wa Dar es salaam International
Conference Centre (DICC) uliopo jijini Dar es salaam.
Akiongea na waandishi wa habari
wakati wa ufunguzi wa semina hiyo, Yahya amesema imekua jambo jema kwa
CAF kutupatia nafasi ya mafunzo ya leseni za vilabu hapa nyumbani, kwani
viongozi wa vilabu wote wanapata nafasi ya kushiriki semina hii ya siku
mbili kutoka kwa wakufunzui wa CAF.
“Uendeshaji wa mpira wa miguu
duniani umebadilika, mabadiliko haya yapo katika nyanja zote za uongozi
(utawala), miundombinu, kitu ambacho kwa sisi Tanania tumeshaanza
kuendana na mabadiliko hayo, na sasa kupata kwetu semina hii kutawafanya
viongozi wengi kufahamu umuhimu wa leseni za vilabu na kufanyia kazi
mapungufu yaliyokuwepo” alisema Yahya.
Semina hiyo ya Leseni kwa Vilabu
itakayofanyika kwa siku mbili inaedeshwa na wakufunzi watatu kutoka CAF
ambao ni Dr. Bolaji Ojo Oba (Nigeria), Amanze Uchegbulanm (Nigeria) na
Othman Mohamed kutoka nchini Sudan.
Agizo la CAF ni kuwa kila klabu
inayoshiriki michuano ya kimataifa (Ligi ya Mabingwa, Kombe l
Shirikisho) lazima iwe imepata leseni hiyo ambayo itaipa nafasi ya
kushiriki michuano inayoandaliwa na CAF, na kwa klabu ambayo haitatimiza
mahitaji ya kupata leseni hiyo haitaweza kushiriki michuano ya
kimataifa.
Ili kupata leseni ya klabu, klabu
inapaswa kutimiza vigezo vilvyowekwa ikiwemo masuala ya utawala, ripoti
ya mapato na matumizi iliyokaguliwa, uwanja wa mazoezi nk.
Mmiliki mmoja wa klabu hatarusiwa
kumiliki timu zaidi ya moja kwenye ligi moja, kila klabu lazima iwe na
program za vijana na uwanja wa mazoezi.
Upendo Nkone naye achomoza Tamasha la Shukrani
MWIMBAJI
maarufu wa muziki wa Injili Tanzania, Upendo Nkone naye amejitokeza
kuwa mmoja wa waimbaji watakaofikisha ujumbe wa Shukrani kwa Mungu
katika Sikukuu ya Krismasi kupitia tamasha linalotarajia kufanyika
Desemba 25 mwaka huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es
Salaam.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama Kamati imefanikisha makubaliano na mwimbaji huyo.
Msama alisema Nkone anaungana na wenzake Rose Muhando, Ephraim Sekeleti sambamba na Kwaya ya Wakorintho wa pili.
“Oktoba 4, tuliandaa Tamasha la
kumbea amani uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25 uwanja wa Taifa, hivyo
ni nafasi yetu kumshukuru Mungu baaada ya kupitisha Tanzania kwenye
uchaguzi ambao ulikuwa na viashiria vya uvunjifu wa amani,” alisema
Msama.
CHAVITA YASIKITISHWA NA USHIRIKI MDOGO WA VIZIWI KATIKA UCHAGUZI MKUU
Mkurugenzi
Mtendaji wa Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA), Bw. Dickson Mveyange
(kulia) akiongea na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu tathmini
ya ushiriki wa Viziwi kwenye Uchaguzi Mkuu wa Taifa Tanzania Bara
uliofanyika 25 Oktoba, 2015. Mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Idara
ya Habari(MAELEZO) Jijini Dar es Salaam 24 Novemba, 2015.
Baadhi ya
Waandishi wa Habari toka Vyombo mbalimbali wakifuatilia taarifa toka kwa
Viongozi wa Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) kuhusu tathmini ya
ushiriki wa Viziwi kwenye Uchaguzi Mkuu wa Taifa Tanzania Bara
uliofanyika 25 Oktoba, 2015. Mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Idara
ya Habari(MAELEZO) Jijini Dar es Salaam 24 Novemba, 2015.
(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-MAELEZO)
(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-MAELEZO)
……………………………………………………………………………………………………..
Na Zawadi Msalla
Chama Cha
Viziwi Tanzania (CHAVITA) kimeeleza masikitiko yao juu ya ushiriki
mbovu wa Viziwi katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika mwishoni mwa mwezi
Oktoba kote nchini.
Akizungumza
na waandishi wa Habari katika ukumbi wa Habari-MAELEZO leo Mshauri
Mwelekezi wa Elimu ya Uraia kwa Watu wenye Ulemavu Bw. Novat Rukwago
amesema kuwa, licha ya jitihada mbalimbali ambazo walijaribu kuzifanya
ili kuhakikisha viziwi kote nchini wanapata haki yao ya msingi na ya
kikatiba ya kupiga kura bado ushiriki wao haukuridhisha.
Rukwago
alizitaja changamoto mbalimbali zilizo jitokeza katika uchaguzi huo
ikiwa ni pamoja na ukosefu wa wataalamu wa lugha za alama zinazotumiwa
na viziwi katika kampeni mbalimbali za Vyama vya Siasa, hivyo sera na
Ilani za vyama hivyo hazikuweza kujulikana kwa viziwi.
“Vyama vingi
vilisema ni suala la rasilimali na ukosefu wa fedha za kuweka wataalamu
hao, ingawa tuonavyo sisi ni kwamba walishindwa kutoa kipaumbele na si
suala la fedha,” alisema Rukwago.
Aidha,
Rukwago alisema CHAVITA kwa juhudi binafsi waliweza kutembea jumla ya
mikoa 17 kote nchini na kufanikiwa kutoa elimu kwa baadhi ya viziwi
ambapo jumla ya viziwi 2516 walijiandikisha, idadi hiyo ikiwa na wanaume
1256 na wanawake 1260. Waliopiga kura walikuwa ni 1807.
Aliongeza kwa
kusema kuwa licha ya changamoto hizo pia mazingira ya kupigia kura
hayakuwa rafiki kwa watu wenye uhitaji maalumu kwani hakukuwa na
wataalamu wa lugha za alama katika vituo vya kupigia kura.
Waliiomba
Serikali kuzingatia umuhimu wa kuyapa kipaumbele makundi mbalimbali
yenye uhitaji kwa chaguzi zijazo na kuitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi
kufanya mawasiliano na vyama vya watu wenye uhitaji maalum mapema ili
kuweza kushirikiana katika kuondoa changamoto zilizojitokeza katika
uchaguzi wa mwaka huu.
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA TAMISEMI DAR
Waziri
Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na katibu Mkuu wa Ofisi ya
Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) , Jumanne
Sajini baada ya kuwasili kwenye Ofisi ndogo ya TAMISEMI jijini Dar es
salaam kuzungumza na watumishi Novemba 24, 2015. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya Wakurugenzi
baada ya kuwasili kwenye Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa (TAMISEMI) jijini Dar es salaam kuzungumza na
wafanyakazi Novemba 24, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza na baadhi ya watumishi wa
Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(TAMISEMI) jijini Dar es salaam Novemba 24, 2015. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
viongozi wa Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa (TAMISEMI) jijini Dar es slaam baada ya kuzungumza nao Novemba 24,
2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
POP UP BONGO KUFANYIKA JUMAMOSI HII TRINITI OYSTERBAY DAR ES SALAAM
Nuya Essence
Founder of Branoz Collection Bahati Abraham with
customers
customers
Secret Habits Seller servings customers
Pediah John, Founder of PSJ Brand with customers
copy
copy
************************************************
Na Mwandishi Wetu
Na Mwandishi Wetu
WASANII mbalimbali wa muziki na
maigizo pamoja na wadau wengine wa biashara watajumuika pamoja Triniti, Oyster
bay katika tamasha la biashara za bidhaa mbalimbali, Pop Up Bongo.
maigizo pamoja na wadau wengine wa biashara watajumuika pamoja Triniti, Oyster
bay katika tamasha la biashara za bidhaa mbalimbali, Pop Up Bongo.
Tamasha hilo linalofanyika kila
baada ya miezi mitatu ni la siku moja na mwaka huu litafanyika tarehe 28 likiwa
chini ya udhamini wa kinywaji cha Smirnoff. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
baada ya miezi mitatu ni la siku moja na mwaka huu litafanyika tarehe 28 likiwa
chini ya udhamini wa kinywaji cha Smirnoff. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
Akizungumzia kuhusiana na tamasha
hilo mmoja kati ya waanzilishi wake, Natasha Stambuli alisema kuwa milango itafunguliwa
kuanzia saa mbili asubuhi na kuwa linatarajiwa kumalizika saa mbili usiku.
hilo mmoja kati ya waanzilishi wake, Natasha Stambuli alisema kuwa milango itafunguliwa
kuanzia saa mbili asubuhi na kuwa linatarajiwa kumalizika saa mbili usiku.
Alisema kuwa ikiwa ni kuelekea msimu
wa sikukuu za Christmas na mwaka mpya tamasha hilo linawakutanisha watu
mbalimbali na wamiliki wa maduka na wafanyabiashara za aina mbalimbali.
wa sikukuu za Christmas na mwaka mpya tamasha hilo linawakutanisha watu
mbalimbali na wamiliki wa maduka na wafanyabiashara za aina mbalimbali.
Alikuwa inakuwa ni nafasi nzuri kwa
watu mbalimbali pia kukutana na mbali na kufanyika kwa biashara kwenye eneo
hilo lakini pia inakuwa ni fursa ya kuburudika kwa kuwa kutakuwa na muziki na
vinwaji hivyo kuongeza furaha kwa watakaojitokeza.

“Ni mwishoni mwa mwaka
tunaelekea na kama mnavyojua kunakuwa na mambo mbalimbali wakati tukielekea
kufunga mwaka vijana wanataka kujua wapi pa kununua bidhaa mbalimbali kama nguo
na vinginevyo na Pop Up bongo inawapatia fursa hiyo hapo Novemba 27″ alisema
Natasha.

Aliongeza kuwa “kwa mwaka huu
wasanii pia wapo ambao watafika kuonana nao wadau wengine wa bidhaa
zinazowahusu kama nguo na nyinginezo na hakuna kiingilio kabisa.
wasanii pia wapo ambao watafika kuonana nao wadau wengine wa bidhaa
zinazowahusu kama nguo na nyinginezo na hakuna kiingilio kabisa.
Alisema kuwa wafanyabiashara ambao
kwa mwaka huu wataonesha bidhaa zao ni pamoja na Secret Habits, KAYA African
Collection, Nuya’s Essence, HIGHSUPDSM, FT boutique, Branoz Collections, ATSU,
Dress Kitenge, American Nails na wengineo wengi.

Mbunge wa Chumbuni Mhe.Ussi Salum Pondeza HAMJAD Apokelea na Wapika Kura Wake
Mbunge
wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe, Ussi Salum Pondeza AMJAD akiwasili
Uwanja wa Ndege wa Kima taifa wa Abeid Amani Karume akitokea Dodoma
kuhudhuria hafla ya kuapishwa iliofanyika wiki iliopita.
Mhe
Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Mhe Ussi Salum Pondeza AMJAD akitabasamu
wakati akiwasili uwanja wa ndege wa Zanzibar akitokea Bungeni Dodoma.na
kupokelewa na Wananchi wa Jimbo lake.
Mhe
Mbunge wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe Ussi Salum Pondeza AMJAD
akipongezwa na Mke wakati alipofika kumpokea Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Dodoma kuhudhuria
hafla ya kuapishwa wiki iliopita.
Mbunge
wa Jimbo la VChumbuni Zanzibar akiwa na Mgombea Uwakilishi wa Jimbo
hilo Miraji akimpongeza baada ya kuwasili Zanzibar akitokea Bungeni
Dodoma kuhudhuria hafla ya kuapishwa iliofanyika wiki iliopita.
Mbunge
wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum AMJAD akisalimiana na wapiga kura wake
waliofika uwanja wa ndege kumpokea baadha ya kuhudhuria hafla ya
kuapishwa kuwa Mbunge wao.
Wananchi
wa Jimbo la Cumbuni Zanzibar wakimlaki Mbunge wao wakati akiwasili
Zanzibar akitokea Dodoma kuhudhuria sherehe za kuapishwa zilizofanyika
wiki iliopita Mjini Dodoma.
Viongozi
wa CCM Jimbo la Chumbuni wakimlaki Mbunge wao alipowasili katika Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Dodoma kuhudhuria
sherehe za kuapishwa zilizofanyika wiki iliopita Mjini Dodoma.
Mbunge
wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar Mhe Ussi Salum Pondeza AMJAD akiwa na
Viongozi wa Jimbo la Chumbuni Zanzibar waliofika kumpokea uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar akitokea Mjini Dodoma kuhudhuria sherehe
za kuapishwa wiki iliopita.
Imetayarishwa na OthmanMapara,Blogspot.
Zanzinews.com
Email othmanmaulid@gmail.com.
RC KILIMANJARO,AMOSI MAKALA AKUTANA NA MAOFISA WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOSHI KUZINGUMZIA JUU YA HOFU YA KIPINDUPINDU.
![]() |
| Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Amosi Makala akiwa katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi,kuzingumza na watendaji wa Afya na Mazingira. |
![]() |
| Baadhi ya watendaji. |
![]() |
| Mkuu wa wilaya ya Moshi ,Novatus Makunga akiwa na mmoja wa maofisa wakifuatilia maelelzo yaliyokuwa yakitolewa ofisini hapo. |
![]() |
| Baada ya agizo hilo mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga alifanya ziara katika dampo lilopo Kaloleni kujinea tatizo lililosabaisha magari ya kubeba taka kushindwa kuendelea na zoezi hilo. |
![]() |
| Katapila likijaribu kusawazisha takataka katika eneo hilo la dampo ili kurahisisha utupwaji wa taka katika eneo hilo. |
![]() |
| Wakati zoezi la kurekebisha barabara katika eneo la dampo likiendelea,mmoja wa wananchi kkatika eneo hilo alikuwa na shughuli ya kujiokotea vitu ambayo anadhani vitamsadia katika kujipatia kipato. |
WANAFUNZI WA UTURUKI NA BOSNIA WAFANYA ZIARA KATIKA KISIWA CHA TUMBATU ZANZIBAR.
Wanafunzi
kutoka Uturuki na Bosnia wakiwa katika Boti kuelekea katika kisiwa cha
Tumbatu kwa ajili ya kuwatembelea wanafunzi wa madrasa na wananchi
mbalimbali katika ziara yao ya siku mbili ili kujenga urafiki baina yao
na watu wa Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Wanafunzi
kutoka Uturuki na Bosnia wakipata dua kwa Mzee wa Kisiwa cha Tumbatu na
kutoa msaada wa chakula ikiwa pamoja na Mchele Unga wa ngano,Sukari na
Mafuta ya kupikia katika ziara yao ya siku mbili ya kujenga urafiki
baina yao na watu wa Zanzibar.
Kiongozi
wa Wanafunzi Omar akimkabidhi Mzee wa kijiji cha Tumbatu Msaada wa
Chakula katika ziara yao ya siku mbili ya kujenga urafiki baina yao na
watu wa Zanzibar.
Wanafunzi
kutoka Uturuki na Bosnia wakiwa katika Kisiwa cha Tumbatu kwa ajili ya
kuwatembelea wanafunzi wa madrasa na wananchi mbalimbali katika ziara
yao ya siku mbili ya kujenga urafiki baina yao na watu wa Zanzibar.
Wanafunzi
kutoka Uturuki na Bosnia wakiwasalimia wanafunzi wa madrasa na walimu
waliokuja kuwa pokea katika Kisiwa cha Tumbatu katika ziara yao ya siku
mbili ya kujenga urafiki baina yao na watu wa Zanzibar
Wanafunzi
kutoka Uturuki na Bosnia wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa
madrasa na walimu katika Kisiwa cha Tumbatu katika ziara yao ya siku
mbili ya kujenga urafiki baina yao na watu wa Zanzibar.
UNDP YAKABIDHI MRADI WA DOLA ZA MAREKANI 150,000 WA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI KIJIJI CHA CHAMWINO
Mkurugenzi
Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Awa Dabo
akikata utepe kuzindua Kisima cha maji safi na salama katika kijiji cha
Machali A wilayani Chamwino mkoa wa Dodoma mwishoni mwa juma lililopita.
Na Modewjiblog team, Chamwino
KIJIJI
cha Manchali kilichopo wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, kimekabidhiwa
mradi wa dola za Marekani 150,000 wenye lengo la kukabiliana na
mabadiliko ya tabia nchi.
Mradi
huo ulikabidhiwa kijiji hicho na Mratibu wa mashirika ya Umoja wa
mataifa nchini na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa
Mataifa (UNDP) Bw. Alvaro Rodriguez.
Mradi huo umelenga kusaidia jamii inayoishi katika kijiji hicho kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.
Mradi
huo wa nishati ya jua umelenga kutatrua tatizo la nishati na kufanya
matumizi bora ya ardhi na teknolojia ya maji.Mradi huo unasaidia familia
600.
Kwa
uzoefu wa Tanzania na maeneo mengine duniani, familia maskini ndizo
zinazopigika vibaya na mabadiliko hayo na ndio haizna uwezo wa
kukabiliana nayo.
Kwa mradi huo wananchi wa Manchali wanatarajia kukabiliana vilivyo na mabadiliko ya Tabia nchi.
Akizungumza
katika kijiji hicho cha Manchali, Mkurugenzi Mkazi wa UNDP, Bi. Awa
Dabo alisema kwamba ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi
uwezeshaji wananchi kiuchumi ni muhimu sana ili kufanya familia kustawi.
Kisima kilichozinduliwa na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Awa Dabo.
“Athari za mabadiliko ya tabia nchi kwa watu maskini ni kubwa na ndio
wanaoathirika zaidi” alisema Mkurugenzi Mkazi UNDP Bi. Dabo.
Aidha
alisema kwamba anaishukuru serikali ya Tanzania kwa kuendelea
kuhangaikia suluhu ya watu kukubali kuwapo kwa mabadiliko ya tabia nchi
na kufanya juhudi ya kukabili hali hiyo.
“Hii
imo katika malengo ya maendeleo endelevu kwani malengo manne kati ya 17
yanahusiana na mabadiliko ya tabia nchi na kuhifadhi mazingira.kwa
kutumia fedha kutoka kwa wadau wa maendeleo, UNDP imefanikiwa kusaidia
wananchi wa kijiji cha Manchali kufanyia kazi maeneo kadha muhimu ili
kufanya uragibishi kuhusu mabadiliko ya tabia nchi, kuongeza kasi ya
upoandaji wa miti na matumizi ya nishati jadidifu.” alisema.
Bi Dabo amesema kwamba mradi huo wa Manchali umekamilika ni mmoja wa mradi yenye mafanikio inayosimamiwa na UNDP.
Aliwapongeza
wananchi wa Manchali kwa ushiriki wao na kuufanya mradi huo kuwa wakwao
hali iliyosababisha kuwepo na matunda yenye tija katika kijiji hicho.
“Sisi UNDP kutokana na mafanikio haya tunaangalia maeneo mengine ya kufanya mradi kama huu” alisema Bi Dabo.
Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa
Shirika la Umoja waMataifa la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez
akizindua mradi wa kupunguza na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi
kwa kutumia nishati jadidifu ya jua (Mitigating Climate change in
vulnerable communities of Dodoma region, Machali village, Chamwino
District), kijijini humo.
Naye
Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Bw. Alvaro
Rodriguez alisisitiza ushiriki wa wananchi katika kufaniukisha miradi na
kusema kwamba mradi huo umefanikiwa kutoka na ushiriki wa wananchi na
hasa kitendo chao cha kuufanya mradi huo kuwa mali yao.
Aliongeza
kwamba kitendo cha kufanya mradi wao na kuwa viongozi wa maendeleo yao
wao wenyewe kumefanya mradi uwe na tija kubwa kwao.
“Mradi huu umeleta maendeleo makubwa kwa wananchi wa hapa kutokana na
wao kuanza kutumia nishati jadidifu, watoto wanakwenda shule na maeneo
yameanza kurejewa na misitu.”
Mratibu
huyo aliongeza kwamba mabadiliko ya tabia nchi ni ya kweli na wala si
ya kuyafanyia mzaha, mashirika ya umoja wa mataifa na Umoja wenyewe
wanatazama sana athari zake mbaya.
Alisema
kijiji cha Manchali kimefanikiwa katika kuanza kukabili mabadiliko ya
tabianchi kwa kubadili mambo yanayowazunguka na kurejesha uoto wa asili
na kuacha kuharibu mazingira huku shughuli za maendeleo zikichukua sura
mpya yenye kujali mabadiliko ya tabia nchi.
Bango la mradi uliozinduliwa na Bw. Alvaro Rodriguez.
Kutoka
kushoto ni Mwakilishi Msaidizi wa Shirika la UNFPA, Dk. Hashina Begum,
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Awa
Dabo, Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na
Mwakilishi wa Shirika la Umoja waMataifa la Maendeleo (UNDP), Alvaro
Rodriguez katika picha ya pamoja na viongozi wa kijiji wakiwakilisha
wananchi ambao watanufaika na mradi huo.
Kutoka
kushoto ni Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa
(UNDP), Awa Dabo, Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa
Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja waMataifa la Maendeleo (UNDP),
Alvaro Rodriguez pamoja na Mwakilishi Msaidizi wa Shirika la UNFPA, Dk.
Hashina Begum katika picha ya pamoja.
BENKI YA STANDARD CHARTERED YATEUA MKURUGENZI WA KWANZA MTANZANIA
Sanjay
Rughani (pichani) anakuwa Mtanzania wa kwanza kuiongoza benki ya
Standard Chartered Tanzania akipokea uongozi wa benki hiyo kutoka kwa
aliyekuwa mkurugenzi wake, Liz Lloyd, ambaye amerudi katika makao makuu
ya benki hiyo, London, kuchukua nafasi ya Mshauri wa Kisheria wa benki
hiyo.
Sanjay
alijiunga na benki ya Standard Chartered Tanzania mwaka wa 1999 akiwa
kama Meneja msaidizi wa kitengo cha Fedha. Baada ya miaka miwili Sanjay
alipata cheo cha Meneja wa kitengo cha Fedha kwa Bara la Afrika, kazi
ambayo aliifanya akiwa katika makao makuu ya benki hiyo, London. Alirudi
nyumbani Tanzania mwaka wa 2002 na kupata cheo cha Mkuu wa Kitengo cha
Fedha nchini Tanzania, kazi ambayo aliifanya hadi mwaka wa 2006.
Mwaka
wa 2007, Sanjay alipata tena cheo kingine, wakati huu akihamishiwa
Ghana, ambapo aliongoza Kitengo cha Fedha nchini humo huku pia
akisimamia Afrika Magharibi, yaani Gambia, Cote d’ Ivoire na Sierra
Leone, kazi ambayo aliifanya hadi Mei, 2013.
Juni,
2013 Sanjay alipandishwa tena cheo na kuwa Mkuu wa Operesheni za
Kifedha na Mratibu wa Huduma za Kifedha kwa Bara la Afrika akiongoza
kitengo hicho ambacho ni sehemu ya Kitengo Kikuu cha Fedha katika nchi
kumi na tan

No comments :
Post a Comment