Thursday, February 23, 2023

DKT. MPANGO ASHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MIKATABA MBALIMBALI KATI YA TANZANIA NA WAWEKEZAJI KUTOKA EU


DAR ES SALAAM.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango akishuhudia utiaji Saini wa Mikataba mbalimbali ya makubaliano baina ya Tanzania na Wawekezaji kutoka nchi za Umoja wa Ulaya wakati akifungua kongamano la Kwanza la Biashara na Uwekezaji baina ya Tanzania na Umoja wa Ulaya linalofanyika kwa siku mbili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa chaJulius Nyerere Jijini Dar es salaam.



Kupitia Kongamano hilo Jumla ya hati tatu za Makubaliano zimetiwa saini, ikiwemo ile ya huduma ya Usafiri wa Anga pamoja na Mradi wa Uzalishaji umeme wa Kakono Hydro Power.





No comments :

Post a Comment