Thursday, January 5, 2023

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI ASHUHUDIA UTIAJI WA SAINI YA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE PEMBA


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia Utiaji wa Saini ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Pemba, kati ya Kampuni ya Propav kutoka Nchini Brazil pamoja na Kampuni ya MEECO ya Tanzania na Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar.
WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakishuhudia utiaji wa Saini ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Pemba, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakishuhudia utiaji wa Saini ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Pemba, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kubadilishana mawazo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania David William Concar, baada ya kumalizika kwa utiaji wa Saini ya Ujenzi wa Uwanja mpya wa Ndege Pemba, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Viongozi mbalimbali wa Serikali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akizungumza baada ya Utiaji wa Saini ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Pemba. 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kubadilishana mawazo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania David William Concar, baada ya kumalizika kwa utiaji wa Saini ya Ujenzi wa Uwanja mpya wa Ndege Pemba, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

 Na mwandishi maalum.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia  Utiaji wa Saini ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Pemba, kati ya Kampuni ya Propav kutoka Nchini Brazil pamoja na Kampuni ya MEECO ya  Tanzania na Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar, (kulia ) Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Bi.Khadija Khamis Rajab akisaini kwa niaba ya Wizara  na Bw. Leondro Motta akisaini kwa niaba ya Kampuni ya Propav ya Brazil,hafla hiyo iliyofanyika leo  4-1-2023, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

No comments :

Post a Comment