Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya kuelekea Mkoani Arusha kushiriki Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani tarehe 03 Mei, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya kuelekea Mkoani Arusha kushiriki Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani tarehe 03 Mei, 2022.
No comments :
Post a Comment