Thursday, March 31, 2022

Wataalam kupitia na kuboresha Rasimu ya Sera ya Taifa ya Hifadhi ya Jamii

 Sehemu ya washiriki wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na wataalamu elekezi wakati wa kikao kazi kilichowakutanisha wataalam kutoka katika wizara na taasisi kwa lengo la kupitia na kuboresha rasimu ya Sera ya Taifa ya Hifadhi ya Jamii, Machi 30, 2022 jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na wataalamu elekezi wakati wa kikao kazi kilichowakutanisha wataalam kutoka katika Wizara na Taasisi kwa lengo la kupitia na kuboresha rasimu ya Sera ya Taifa ya Hifadhi ya Jamii, Machi 30, 2022 jijini Dodoma.
Mtaalamu elekezi,Anthony Hodge akifafanua jambo kwa washiriki wakati wa kikao kazi kilichowakutanisha wataalam kutoka katika wizara na taasisi kwa lengo la kupitia na kuboresha rasimu ya Sera ya Taifa ya Hifadhi ya Jamii, Jijini Dodoma.

No comments :

Post a Comment