Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba (kulia) na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA), Bw. Naofumi Yamamura, wakisaini mikataba mitatu ya mkopo na msaada wa shilingi bilioni 761.8 kwa ajili ya ukarabati wa gati za Mashariki na Kaskazini mwa Bandari ya Kigoma, uboreshaji wa miundombinu ya maji Zanzibar na ujenzi wa barabara ya Arusha - Holili, jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba (kulia) na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Shinichi Goto, wakisaini mikataba mitatu ya mkopo na msaada yenye thamani ya shilingi bilioni 761.8 kwa ajili ya ukarabati wa gati za Mashariki na Kaskazini mwa Bandari ya Kigoma, uboreshaji wa miundombinu ya maji Zanzibar na ujenzi wa barabara ya Arusha - Holili, jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba (kulia) na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA), Bw. Naofumi Yamamura, wakionesha mikataba mitatu ya mkopo na msaada wa shilingi bilioni 761.8 kwa ajili ya ukarabati wa gati za Mashariki na Kaskazini mwa Bandari ya Kigoma, uboreshaji wa miundombinu ya maji Zanzibar na ujenzi wa barabara ya Arusha - Holili, jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba (kulia) na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Shinichi Goto, wakionesha mikataba ya mkopo na msaada wa shilingi bilioni 761.8 kwa ajili ya ukarabati wa gati za Mashariki na Kaskazini mwa Bandari ya Kigoma, uboreshaji wa miundombinu ya maji Zanzibar na ujenzi wa barabara ya Arusha - Holili, jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Shinichi Goto (kushoto) na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA), Bw. Naofumi Yamamura, baada ya kusainiwa kwa mkataba wa msaada wa shilingi bilioni 761.8 kwa ajili ya ukarabati wa gati za Mashariki na Kaskazini mwa Bandari ya Kigoma, uboreshaji wa miundombinu ya maji Zanzibar na ujenzi wa barabara ya Arusha - Holili, jijini Dar es Salaam.
(Picha na WFM, Dar es Salaam)Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba akisaini mikataba mitatu ya mkopo na msaada yenye thamani ya shilingi bilioni 761.8 kwa ajili ya ukarabati wa gati za Mashariki na Kaskazini mwa Bandari ya Kigoma, uboreshaji wa miundombinu ya maji Zanzibar na ujenzi wa barabara ya Arusha - Holili, jijini Dar es Salaam. (Katikati) ni Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Shinichi Goto na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA), Bw. Naofumi Yamamura.
Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Shinichi Goto akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba baada ya halfa ya kusaini mikataba mitatu ya mkopo na msaada wa shilingi bilioni 761.8 kwa ajili ya ukarabati wa gati za Mashariki na Kaskazini mwa Bandari ya Kigoma, uboreshaji wa miundombinu ya maji Zanzibar na ujenzi wa barabara ya Arusha - Holili, jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba (kulia) akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Shinichi Goto, walipokutana kwa ajili ya halfa kusaini mikataba mitatu ya mkopo na msaada wa shilingi bilioni 761.8 kwa ajili ya ukarabati wa gati za Mashariki na Kaskazini mwa Bandari ya Kigoma, uboreshaji wa miundombinu ya maji Zanzibar na ujenzi wa barabara ya Arusha - Holili, jijini Dar es Salaam.
No comments :
Post a Comment