Monday, November 29, 2021

PBZ JITAHIDINI KWENDA SAMBAMBA NA SOKO LA KIMATAIFA - MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR

Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh. Othman Masoud Othman akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Dk. Muhusin Suleiman Masoud na kulia kwa Mkurugenzi ni Meneja wa Benki hiyo Said Ali Mwinyigogo. Mkurugenzi huyo na ujumbe wake ulifika Ofisini kwa makamu leo kujitambulisha na kushauriana kuhusu masuala mbali mbali ya Benki. ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar).
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh. Othman Masoud Othman, akizungumza na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Dk. Muhusin Suleiman Masoud(kulia kwa makamu). Mkurugenzi huyo na ujumbe wake ulifika Ofisini kwa makamu leo kujitambulisha na kushauriana kuhusu masuala mbali mbali ya Benk hio.

( Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar)

No comments :

Post a Comment