Tuesday, August 31, 2021

SERIKALI KUWALIPA MISHAHARA WATUMISHI 4,380 WALIONDOLEWA KWENYE ORODHA YA MALIPO

 Naibu Waziri Ofisi ya Rais Utumishi, Deo Ndejembi amesema Serikali imewarejesha kazini na kuendelea kuwalipa mishahara jumla ya watumishi 4,380 walioondolewa kwenye orodha ya malipo ya mishahara kimakosa wakati wa zoezi la uhakiki wa vyeti vya elimu na watumishi hewa kote nchini.

Ndejembi ametoa kauli hiyo leo Bungeni jijini Dodoma na kusema kuwa idadi hiyo inajumuisha watendaji wa kata watendaji wa vijiji na watendaji wa mitaa wapatao 3,114


No comments :

Post a Comment