RAIS DKT.MAGUFULI ASHIRIKI MKUTANO WA EAC KWA NJIA YA MTANDAO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishiriki mkutano wa 21 wa
kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika leo
tarehe 27 Februari, 2021 kwa njia ya mtandao.
No comments :
Post a Comment