
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi alipokuwa akizungumza
na Wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii pamoja kutoa
ufafanuzi wa changamoto mbali mbali zinazowakabili wanyakazi hao katika
mkutano Maalum uliofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa
Abduulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 31/12/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Amali pia Kaimu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii
Mhe.Simai Mohamed Said alipowasili viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa
Abduulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar katika Mkutano na Wafanyakazi wa
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii uliofanyika leo.[Picha na Ikulu]
31/12/2020.
Mchangiaji Hafidh Sheha Hassan
katika kitengo cha maradhi ya Ngozi na maradhi ya kujamiiana
akiwasilisha mchango wake katika Mkutano maalum wa Wafanyakazi wa Wizara
ya Afya na Ustawi wa Jamii uliofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh
Idrissa Abduulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini ya Mwenyekiti
wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein
Ali Hassan Mwinyi (hayupo pichani).[Picha na Ikulu] 31/12/2020.
Muuguzi na Mkunga Rukia Balo
kutoka Mpendae akiwasilisha mchango wake katika Mkutano maalum wa
Wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii uliofanyika leo katika
Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abduulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini ya
Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi (hayupo pichani).[Picha na Ikulu]
31/12/2020.Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Hassan
Mwinyi (katikati) akifuatilia kwa makini changamoto zilizotolewa na
Wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii katika Mkutano maalum
na Wafanyakazi hao uliofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa
Abduulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar (kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo
ya Amali pia Kaimu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe.Simai Mohamed
Said (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa
Rais,Sera,Uratibu na Baraza la Wawakilishi Dk Khalid Mohamed
Suleiman.[Picha na Ikulu] 31/12/2020.
No comments :
Post a Comment