Mwili
wa aliyekuwa waziri wa katiba na sheria Balozi Dkt. Augustine Mahiga,
ukishushwa nyumbani kwake Gangilonga mjini Iringa kwaajili ya taratibu
za kuuaga kabla ya kuelekea eneo alipozaliwa Tosamaganga nje kidogo ya
mji wa Iringa kwa ibada ya mazishi.
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment