Tuesday, March 3, 2020

MAKATIBU NA MANAIBU KATIBU WAKUU WASHUHUDIA MAENDELEO UJENZI WA RELI YA SGR



Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wakiendelea na Ziara
Kazi ya uchimbaji wa njia ya chini ya kupitisha Reli ikiwa inaendelea
Kazi ya uchorongaji wa handaki ikiwa inaendelea katika eneo la Kilosa-Morogoro
Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wakishuhudia uchongaji wa barabara ya chini
ambapo Reli ya Kisasa (SGR) inapita.
Muonekano wa Reli na Mataruma ya kisasa yaliyotengenezwa kwa saruji tofauti na reli ya
zamani ambayo ni chuma
Kazi ya uwekaji wa Mataruma ya Reli ikiendelea
Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wakiwa kwenye kiwanda cha kuzalisha Mataruma kilichopo eneo la Soga.
Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wakiingia katika moja ya handaki itakapopita Reli ya Kisasa (SGR)
Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wakishuhudia muonekano wa ndani wa
handaki ambalo limekwishakamilika.

No comments :

Post a Comment