Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya
Bunge, Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya Mhe. Oscar Mukasa
akisalimiana na Maafisa wa Magereza alipofika katika Gereza Kuu la
Arusha ili kupokea taarifa juu ya wafungwa wanaoishi na virusi vya
Ukimwi leo Machi 4.
Kamati ya Kudumu ya Bunge, Masuala
ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa
Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo katika Ofisi yake kabla ya kuanza
ziara ya kuelekea katika Gereza Kuu la Mkoa wa Arusha leo Machi 4.
Kamati ya Kudumu ya Bunge, Masuala
ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya wakiwa katika picha ya pamoja na
viongozi wa Magereza mara baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa
majukumu yao kwa wafungwa wanaoishi na virusi vya ukimwi leo Machi 4.
No comments :
Post a Comment