
Mratibu wa mradi wa Instant
Schools Christine Lucas (Kulia) akimkabidhi zawadi mwanafunzi Zakati
Athumani wa kidato cha tatu, shule ya Sekondari Kinyerezi baada ya
kuwaelekeza kuhusu mfumo huo unavyosaidia wanafunzi kujisomea mahali
popote bila gharama yeyote. Mfumo huo unatolewa na kampuni ya simu za
mkononi ya Vodacom Tanzania PLC kupitia Vodacom Tanzania Foundation.

No comments :
Post a Comment