Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Philip Mpango akizungumza na Washiriki
wa Mkutano wa Siku ya Takwimu Afrika uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Waziri amatoa maagizo kwa
Ofisi ya Takwimu (NBS), na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kufanya kazi kwa kushirikiana.
Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa akizungumza katika na
Washiriki wa Mkutano wa Siku ya Takwimu Afrika uliofanyika katika Kituo cha
Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, ambapo kauli
mbiu ilikuwa ni ‘Kila mmoja wetu ana
umuhimu kwa takwimu bora, kwa usimamizi bora wa watu wanaolazimika kuyakimbia
makazi yao barani Afrika’
Wanafunzi kutoka Shule mbalimbali za Jijini la Dar es Salaam
wakifuatilia Mkutano wa Siku ya Takwimu Afrika uliofanyika katika Kituo cha
Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 28,
2019.
Watoa mada wa Mkutano wa Siku ya Takwimu Afrika
Wakifuatilia Hotuba ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Philip Mpango, alipokuwa
akifungua mkutano huo leo katika Kituo cha Mikutano Cha Kimataifa JNICC Jijini
Dar es Salaam.
Watakwimu kutoka Sehemu mbalimbali nchini
wakifuatilia.
Watakwimu kutoka Sehemu mbalimbali nchini wakifuatilia Mkutano wa Siku
ya Takwimu Afrika uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 28, 2019, kauli mbiu ilikuwa ni
ya Mkutano huo ni ‘Kila mmoja wetu ana
umuhimu kwa takwimu bora, kwa usimamizi bora wa watu wanaolazimika kuyakimbia
makazi yao barani Afrika’
Mwenyekiti wa Bodi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dkt. Amina Msangi
Akizungumza katika Mkutano wa Siku ya Takwimu Afrika uliofanyika katika Kituo
cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, ambapo
kauli mbiu ilikuwa ni ‘Kila mmoja wetu
ana umuhimu kwa takwimu bora, kwa usimamizi bora wa watu wanaolazimika
kuyakimbia makazi yao barani Afrika’
Mkurugenzi Msaidizi-Idara ya Ajira na Ukuzaji
Ajira, Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw.Ahmed Makbel akichangia mada katika Mkutano wa
Siku ya Takwimu Afrika uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, ambapo kauli mbiu ilikuwa ni ‘Kila mmoja wetu ana umuhimu kwa takwimu
bora, kwa usimamizi bora wa watu wanaolazimika kuyakimbia makazi yao barani
Afrika’.
Mwakilishi wa Benki ya Dunia, Bi. Elizabeth Talbert akichangia mada
katika Mkutano wa Siku ya Takwimu Afrika uliofanyika katika Kituo cha Mikutano
cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, ambapo kauli mbiu
ilikuwa ni ‘Kila mmoja wetu ana umuhimu
kwa takwimu bora, kwa usimamizi bora wa watu wanaolazimika kuyakimbia makazi
yao barani Afrika’.
Mwanafunzi Zingatia Fadhili kutoka shule ya Wasichana Kisutu akiuliza
swali katika Mkutano wa Siku ya Takwimu Afrika uliofanyika katika Kituo cha
Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, ambapo kauli
mbiu ilikuwa ni ‘Kila mmoja wetu ana umuhimu kwa takwimu bora, kwa usimamizi bora
wa watu wanaolazimika kuyakimbia makazi yao barani Afrika’.
Wanafunzi kutoka Chuo cha Takwimu cha Mashariki mwa Afrika waliohudhuria
katika Siku ya Takwimu Afrika iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam wakifuatilia Mkutano huo.
Waziri wa Fedha Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Philip Mpango na
watendaji wengine wa Serikali wakiwa katika picha ya pamoja na washindi wa
Insha katika Siku ya Takwimu Afrika, iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha Waziri wa Fedha na Mipango,
Dkt.Philip Mpango na watendaji wengine wa Serikali wakiwa katika picha ya
pamoja na Wanafunzi kutoka Tambaza Sekondari waliohudhuria katika Siku ya
Takwimu Afrika iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius
Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Philip Mpango na
watendaji wengine wa Serikali wakiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi kutoka
Chuo cha Takwimu cha Mashariki mwa Afrika waliohudhuria katika Siku ya Takwimu
Afrika iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere
Jijini Dar es Salaam.
No comments :
Post a Comment