Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akijibu suala wakati wa
mahojiano na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Zanzibar
Ndg,Chande Omar Omar yanayohusu miaka tisa ya Uongozi wake,katika ukumbi
wa Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu.]02/11/2019.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Zanzibar Ndg,Chande Omar Omar akiuliza
suala wakati wa mahojiano yanayohusu miaka tisa ya Uongozi wake,yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]02/11/2019.
No comments :
Post a Comment