Mkurugenzi wa Idara ya Habari
Maelezo Juma Mohamed akitolea ufafanuzi baadhi ya maswala yalioulizwa
katika Mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa mjini Magharibi na Wahariri na
Wamiliki wa Vyombo vya Habari alipokua akizungumza nao Ofisini kwake
Vuga Zanzibar kuhusiana na Ushirikiano na Ofisi yake.
Mkuu wa Habari wa Idara ya Habari
Maelezo Ramdhan Ali akiuliza maswali katika Mkutano wa Mkuu wa Mkoa wa
mjini Magharibi na Wahariri na Wamiliki wa Vyombo vya Habari alipokua
akizungumza nao Ofisini kwake Vuga Zanzibar kuhusiana na Ushirikiano na
Ofisi yake.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Hassan Khatib Hassan akizungumza na Wahariri na Wamiliki wa Vyombo vya
Habari kuhusiana na Ushirikiano na Ofisi yake Vuga mjini Zanzibar.
Baadhi ya Wahariri na Wamiliki wa
Vyombo vya Habari wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Hassan
Khatib Hassan alipokua akizungumza nao Ofisini kwake Vuga Zanzibar
kuhusiana na Ushirikiano na Ofisi yake.
No comments :
Post a Comment