Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kwenye
uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam ,Oktoba 29, 2019
wakati alipowasili nchini akitoka nchini Azerbaijan ambako
alimwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika mkutano wa Nchi
zisizofungamana na upande wowote ulifanyika jijini Baku. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment