Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitembelea banda la maonesho
la Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) yanayoenda
sambamba na Kongamano la uwekezaji katika Mkoa wa Dodoma yanayofanyika
katika viwanja vya ukumbi wa CCM ujulikanao kama CCM Convention Center,
anayetoa maelezo kwa Waziri Mkuu ni mtaalam wa mambo ya Jiolojia
Ambaliche Tamambele kutoka taasisi ya Jiolojia.
Moja
ya jukumu la Taasi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania ni
kukusanya, kuchambua, kutafasiri na kutunza takwimu na taarifa mbalimba
za jiosayansi kwa maana ya Jiolojia, Jiokemia , na Jiofizikia pamoja na
upatikanaji wa madini nchini.
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment