Spika wa Bunge, Job Ndugai
(kushoto) akisalimiana na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS),
Dkt. Rugemeleza Nshala alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini
Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai
(kushoto) akizungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS),
Dkt. Rugemeleza Nshala (katikati) na Mjumbe wa Chama hicho, Ndg. Harold
Sungusia walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai
(katikati) akizungumza na Ugeni kutoka Chama cha Wanasheria Tanganyika
(TLS) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai
(kushoto) akipokea zawadi ya ‘note book’/daftari ndogo ya dondoo kutoka
kwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Dkt. Rugemeleza
Nshala alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni
Katibu wa Spika, Ndg. Said Yakubu
Spika wa Bunge, Job Ndugai
(wa sita kulia) akiwa katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Chama cha
Wanasheria Tanganyika (TLS) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni
Jijini Dodoma. Wa tano kulia ni Rais wa Chama hicho, Dkt. Rugemeleza
Nshala
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments :
Post a Comment