RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe., Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa
meza Kuu kushoto Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto,
Mhe. Maudline Castico, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na
Mkuu wa Mkoa wa Kusinu Unguja Mhe. Hassan Khatib na kulia Mwenyekiti wa
Shirikisho la la Vyama Vya Wafanyakazi Ndh. Ali Mwalim Katibu Mkuu wa
ZATUC Ndg. Khamis Mwinyi na Mwakilishi wa ILO Getrude Sima wakiimba
wimbo wa mshikamano wa Wafanyakazi.wakati wa hafla ya Maadhimisho ya
Siku ya Wafanyakazi Duniani iliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed
Shein.Tunguu.(Picha Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Shein Ahutubia Maadhimisho ya Siku ya
Wafanyakazi Duni ukumbi wa Chuo Kikuu cha SUZA Tunguu Zanzibar(Picha na
Ikulu)
BAADHI ya Wawakilishi wa
Mashirika ya Kimataifa wanaofanyika Kazi zao Zanzibar wakihudhuria
Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani(Picha na Ikulu)
No comments :
Post a Comment