Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiangalia Saruji inayotengenezwa na kiwanda cha Saruji cha Mbeya kilichopo
Songwe.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe
kuashiria upanuzi wa Kiwanda cha Saruji cha Mbeya kilichopo
Songwe.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wananchi wa Songwe wakati akielekea kwenye kiwanda cha Saruji cha Mbeya ambapo
aliweka jiwe la msingi la upanuzi wa kiwanda hicho.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wananchi wa Songwe wakati akielekea kwenye kiwanda cha Saruji cha Mbeya ambapo
aliweka jiwe la msingi la upanuzi wa kiwanda hicho.(PICHA NA IKULU).
No comments :
Post a Comment