Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
wabunge wakifurahia katika mazungumzo na Peter Mollel maarufu kwa jina
la Pierre Konki Liquid (katikati) kwenye viwanja vya Bunge jijini
Dodoma, Aprili 3, 2019. Wengine kutoka kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum,
Mariamu Ditopile, Mbunge wa Viti Maalum, Munde Tambwe, Naibu Waziri,
Ofisi ya Makamu wa Rais na Mbunge wa Singida Mjini, Mussa Sima, Mbunge
wa Kiembesamaki, Ibrahim Raza na Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki
Kingu (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment