Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth
Magufuli, Mbunge wa Mtwara Vijijini Hawa Ghasia pamoja na Viongozi
mbalimbali wa mkoa wa Mtwara wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la
Msingi la mradi wa Upanuzi wa uwanja wa ndege wa Mtwara hafla
iliyofanyika leo tarehe 2 Aprili 2019 mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth
Magufuli wakwanza kutoka kulia pamoja na viongozi mbalimbali wa Wizara
ya Ujenzi, Wabunge pamoja na viongozi wa mkoa, akikata utepe kuashiria
uzinduzi wa Mitambo itakayotumika katika ujenzi wa mradi wa upanuzi wa
uwanja wa ndege wa Mtwara.
Kwaya ya chuo cha Utumishi wa Umma Mtwara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wananchi
waliofika katika uwanja wa ndege wa Mtwara mara baada ya kuweka jiwe la
Msingi la mradi wa Upanuzi wa uwanja wa ndege wa Mtwara hafla
iliyofanyika leo tarehe 2 Aprili 2019 mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi
katika eneo la uwanja wa ndege wa Mtwara kabla ya kuweka jiwe la msingi
la mradi wa upanuzi wa uwanja huo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa kushoto pamoja na Waziri wa
Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isaack Kamwelwe kulia wakati Kwaya
ya Chuo cha Utumishi wa Umma tawi la Mtwara na Dar es Salaam ilipoku wa
ikitumbuiza uwanjani hapo. PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment