Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista
Mhagama akiwa pamoja na Naibu wake Mhe.Anthony Mavunde (wa kwanza kulia)
na wa kwanza kushoto ni katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Bw. Andrew Massawe
wakitembea katika viwanja vya Bustani ya Jiji wakati wa kukagua mabanda
ya maonesho katika kuadhimisha Siku ya Usalama na Afya Mahali Pa Kazi
Aprili 28, 2019 yaliyofanyika Kitaifa Mkoani Mbeya.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista
Mhagama akipokelewa na watumishi wa OSHA alipowasili katika viwanja vya
bustani ya Jiji Mkoani Mbeya kwa ajili ya maadhimisho ya sherehe Usalama
na Afya Mahali Pa Kazi yaliyofanyika mkoani hapo kitaifa.
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa
Afya na Usalama Mahala Pa Kazi Bi. Khadija Mwenda akieleza jambo kwa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira
na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista Mhagama wakati wa maaadhimisho hayo, wa
kwanza kushoto ni Naibu wake Mhe. Anthony Mavunde.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista
Mhagama akipewa maelezo ya vifaa saidizi kazini kutoka kwa Mtaalamu
kutoka Wakala wa Afya na Usalama Mahala Pa Kazi (OSHA) wakati wa
maadhimisho hayo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista
Mhagama akiuliza jambo kwa wataalam kutoka Idara ya Kazi wa ofisi hiyo
alipotembelea banda lao wakati wa maadhimisho ya Usalama na Afya Mahali
Pa Kazi yaliyofanyika Jijini Mbeya.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri
Mkuu (Wenye Ulemavu) Mhe. Stella Ikupa akiweka sahihi kwenye kitabu cha
wageni katika banda la maonesho la Wakala wa Afya na Usalama mahala pa
Kazi (OSHA) wakati wa maadhimisho hayo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista
pamoja na naibu wake Mhe. Anthony Mavunde wakiangalia mfano wa namna ya
kuokoa mtu aliyepata madhara awapo kazini walipotembelea banda la MUST
(Mbeya University of Science and Technology) wakati wa kilele cha
maadhimisho ya Siku ya Usalama na Afya Mahali Pa Kazi Jijini Mbeya.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista
pamoja na baadhi ya viongozi wa TUGHE wakifurahia jambo wakati
alipotembelea banda la TUGHE katika maonesho hayo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista
akifuatilia takwimu za ajari zitokananazo na shughuli za uchimbaji
katika Mgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu alipotembelea banda la ofisi hiyo
kujionea namna wanavyofanya kazi wakati wa maadhimisho ya Usalama na
Afya Mahali Pa Kazi Mkoani Mbeya.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista
akihutubia wananchi waliohudhuria katika maadhimisho ya kilele
maadhimisho ya siku ya Usalama na Afya Mahali Pa Kazi yaliyofanyika
Jijini Mbeya Aprili 28, 2019.
Sehemu ya wananchi wakifuatilia
hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi,
Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista (hayupo pichani) wakati wa
maadhimisho hayo Jijini Mbeya.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista
akifurahia pamoja na watumishi wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) baada
ya kuibuka washindi wa kwanza kwa kupokea tuzo nyingi kuliko washiriki
wengine wa maonesho ya Siku Usalama na Afya Mahali Pa Kazi yaliyofanyika
Jijini Mbeya. (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
No comments :
Post a Comment