Monday, February 25, 2019

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA CCM MKUTANO WA MAJUMUISHO YA ZIARA YAKE WILAYA YA CHAKECHAKE PEMBA LEO


IMG_8338-min
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Viongozi wa CCM Wilaya ya Chakechake Pemba wakati wa mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake Wilaya ya Chake leo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Makonyo wawi.
IMG_8284-min
BAADHI ya Viongozi wa CCM Wilaya ya Chakechake Pemba wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia katika ukumbi wa Makonyo Wawi Pemba leo, wakati wa mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake.
IMG_8270-min
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Serikali na CCM wakiwa katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wawi Chakechake Pemba wakati wa mkutano wa majumuisho ya ziara yake Wilaya ya Chakechake Pemba leo
IMG_8312-min
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdallah Juma Mabodi akizungumza wakati wa mkutano wa Viongozi wa CCM Wilaya ya Chake katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wawi Chakechake Pemba leo.(Picha na Ikulu)

No comments :

Post a Comment