Mkurugenzi Mkuu Wizara ya
Afya Dkt,Jamala Adam Taibu akizungumza katika Mkutano wa 11 wa
kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini
Unguja.
Muakilishi wa W,H,O
Zanzibar Dkt,Ghirmany Andermichael akizungumza katika Mkutano wa 11 wa
kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini
Unguja.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya
Asha Ali Abdalla akitoahotuba yake katika Mkutano wa 11 wa kutathmini
Sekta ya Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini Unguja
Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud akitoa hotuba ya ufunguzi katika Mkutano
wa 11 wa kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel
mjini Unguja
Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud akizungumza na Waandishi wa Habari mara
baada ya kufungua Mkutano wa 11 wa kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar
katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini Unguja.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud katikati akiwa na Naibu Waziri Wizara ya
Afya Harusi Saidi Suleiman(kushoto yake)na Viongozi mbalimbali katika
Picha ya pamoja katika hafla ya Mkutano wa 11 wa kutathmini Sekta ya
Afya Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini Unguja.
Mkurugenzi Mkuu Wizara ya
Afya Dkt,Jamala Adam Taibu akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya
Ufunguzi wa Mkutano wa 11 wa kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar katika
Ukumbi wa Verde Hotel mjini Unguja.
Baadhi ya Wadau wa Sekta ya
Afya waliohudhuria katika Mkutano wa 11 wa kutathmini Sekta ya Afya
Zanzibar katika Ukumbi wa Verde Hotel mjini Unguja.
Mtaalamu wa masuala ya Afya
ya Uzazi kutoka shirika la UNFPA Zanzibar Batula Abdi akitoa mchango
wake katika Mkutano wa 11 wa kutathmini Sekta ya Afya Zanzibar katika
Ukumbi wa Verde Hotel mjini Unguja.
PICHA Na YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments :
Post a Comment